Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mtu yeyote yahitaji uvumilivu hata kipindi tunaishi na wazazi wetu tulikuwa tunakosana nao. Lakini upendo wafaa uwe nguzo kuu, ukipenda utavumilia, utasamehe na hautahesabu baya.
 
Infact kunamuhusu...

kuna member humu wana chama cha wanaume walio oa Machame na Unyakyusani..

Wanataka wafahamiane ili mmojawao akirestishwa in peace members wenzake wakazikomboe mali zake kwenye mikono ya warestishaji..

Teh
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Haki humu duniani kuna vituko.
 
siku hizi wanaume uvumilivu umetushinda kutwa tunalalama kwenye mitandao tuu,kutishia watu kuhusu ndoa kama yamekushinda ni kwako sio kwakila mtu sasa wewe na umri wako huo ukaenda kutongoza facebook na kesho ukatangaza ndo unategemea nini
 
Ungetoa mifano ya unayokutana nayo ungeeleweka zaidi kuliko kuwatisha vijana ambao hawajaoa.
 
wachache sana, nyingi nimeona mie nilipokuja kuoa nikaexperience hicho kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…