Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Shida zotee za nini?
Kwahiyo wenye ndoa zenu mlioana ili mkatafute nani wakumbembeleza mwenzi kwanza?

Ngoja tuendelee kuwapelekea moto.
Unakuja kwangu leo kesho unasepa, hapo hakuna baya LOLOTEE sijui la kununiana or what

#YNWA
 
Watanuna ila Ukweli ni Huu;

Hakuna Mwanamke mwenye Akili, yes hakuna! Mungu Alipotuagiza Wanaume Tuishi nao kwa Akili, alikuwa ana maana kubwa mno ukiiangalia na kufikiri kwa Uyakinifu. Shida kubwa inakuja hapa, unakuta mwanaume mwenyewe akili ndogo halafu anataka kuishi kidiplomasia na mkewe. Ndugu, hutokaa ufanikiwe kwenye hiyo ndoa yako.

Siku zote mwanamke anaishi kwa Hisia na si kwa Akili ila Mwanaume anavyo vyote Viwili, Akili na Hisia.

Men buys Functionally
Women buys Emotionally.
 
Kwa maneno haya mama yako, Dada yako wote hawana akili? Hapana umekosea mno, kila kiumbe aliyechini ya jua ana akili za kumtosha mwenyewe, mnapotaka kuzigawana ziwatoshe wote hapo ndo mnazingua. Wanawake wanaakili nyingi sana shida ni kuwa wanaume wengi hawataki kusikiliza wake zao na kuhisi wanapelekeshwa.

Tulia panga mipango na mkeo na usiivuruge maisha yatakuwa Safi. Ukivuruga unamchanganya na Matokeo yake utasema Hana akili, huku ukimtia na kuhakikisha anakupa watoto wenye akili.

Ulichosema siyo sahihi. Asilimia 90 ya akili za mtt wako zinatoka kwa mkeo , wewe akili zako zimetoka kwa mama yako, baba mchango wake ni hyo mbegu tu, ikishaingia hana issue Tena!
 
Kaa
Kaa hapo uzidi kulishwa na motivesheni spikaz. Waulize wao wenyewe utaelewa nini naongea.
 
Kaa

Kaa hapo uzidi kulishwa na motivesheni spikaz. Waulize wao wenyewe utaelewa nini naongea.
Pale unapofikiria kila mtu ni motivesheno spika ama anasikiliza motivesheno spika. Raha ya humu jamvini tuna rika, akili na upeo tofauti.

Kukubali kukosolewa na kuambiwa ukweli husaidia kutoa nafasi kwa kufikiria zaidi na kujibu kiuugwana zaidi.
 
huu ukimya na kujifanya una ignore mambo wakati yanakukera ndio chanzo cha vifo vya wanaume wengi.
 
kwani mama sio mwanamke?

Tatizo la wengi ni kudhani mtazamo negatively wa mtu dhidi ya jinsia iliyo kinyume naye hulenga wale wasio muhusu tu. Quran imesema wanawake ni wapungufu wa akili na dini meanwhile hata mama yako na mama yangu wanaingia hapo

Mwanamke haeleweki, na ukitaka kumuelewa utajikuta unapotea wewe. Cha msingi hapo ni kuweka kanuni zako ambazo anatakiwa aishi nazo
 
Wengine hutoa mama zao na dada yao na kunyooshea mama wengine, wakati wale wa kwao ndiyo wabovu kupita hata mavi ya bata!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…