Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

"....inamaana ukitaka kufanya kitu LAZIMA UMSHIRIKISHE...." Mwisho wa kunukuu, na hapo ndiyo matatizo yanapoanzia!
 
Ni kweli mkuu. Kuvumiliana ni muhimu sana ila uvumilivu una kikomo. Mimi alichonifanyia bwzna yule sintakaa nisahau ingawa imepita miaka mingi
 
Mimi nadhani kuishi pamoja kama mume na mke ndo kunahitaji uvumilivu.

Wote mvumiliane na sio uvumilivu uwe wa upande mmoja tu.

Kumwona mwenzio ndiye mwenye mapungufu na wewe kujiona uko timilifu nayo ni mapungufu.
Maneno mnasaba! Kila siku lawama za upande mmoja tu
 
Vijana msifikiri ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!

Kaka vipi kaka yangu[emoji3] maana line ni fupi ila imewakaa
 
Kahaba maza ako kafukuliwa na babangu
Si kama mimi nitakavyo kukojoza mtoto pisi kali utakaa kwenye msitari uache dharau ni kukupelekea moto uache kukopoana mpaka unadharau wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…