TheMnyonge
JF-Expert Member
- Mar 25, 2022
- 738
- 1,886
"....inamaana ukitaka kufanya kitu LAZIMA UMSHIRIKISHE...." Mwisho wa kunukuu, na hapo ndiyo matatizo yanapoanzia!Kwasababu anakaa kwako ndiyo umtendee ndivyo sivyo? Kwanini MUNGU mwenyewe alisema ni vema huyu mtu akae pekeyake nitamfanyia msaidizi, kwanini hakusema mtumwa? Msaidizi inaama ikitaka kufanya kitu au kuamua kitu lazima mkae mjadiliane, sasa Mme urudi saa 8 za usiku usiulizwe eti unataka kumitawala haa[emoji849]
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app