Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Mwanamke anataka uhakika wa maisha ya kesho kupitia PESA/MALI uliyonayo ili aishi vizuri yeye na wazazi wake (kama bado wapo hai) endapo wewe ukifa, hayo ya upendo sijui uvumilivu yaliishaga enzi za wamisionari wa kwanza, hayapogo siku hizi
Vipi endapo akifa yeye?
 
Nyuzi za 2016-2017 zilikua hatare mno πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ now kuna kataa ndoa
 
Wanawake wamekua na challenges nyingi sana
 
Kuna watu wameoa wake za watu, mwanamke asiyefuata vision yako sio wa kwako, wewe unataka utulivu anakupa stress, ukitaka usafi anakupa uchafu ni lugha gongana may be tunafanya vitu kwa mihemko tu hatujiambii ukweli tuna angalia makalio au uzuri fulani bila kuangalia alicho wekeza kichwani, mwanamke anayewekeza kwenye uzuri zaidi ya 50% na akaacha uwezo wake wa ndani ni kipengele
 
Liability
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…