Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

Pambana kusoma sio kusubiri tu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€unaenda kushindana na watu 20,000 Burnaboy aliojaza arena NYC
Kila siku nikitaka kusoma napata uvivu hahahaha naingia jamii forum Uzi wa sensa dah aiseee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mkuu,mwaka huu nimedhamiria kuwa mtumishi wa umma nikapumzishe kichwa changu huko.number naona bado hawajatoa
Biashara ndio inayoleta utajiri lakini mkuu, mi navyojua kazi ni utumwa tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Najionea mazing zong tu,na hivi me mgeni wa haya mambo chaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi uliopita nimeapply nafasi 4taasisi tofauti, kila siku nachungulia profile ila naona tu Received ingawa bado usaili kwa ujumla haujatangazwa kwa nafasi zote nilizoomba.

Hapa napata mawili matatu kulingana na mnayoyasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ