Kasome tena nilicho kiandika ikiwezeka pembeni uwe na glass ya maji 😊
Lisu 1 = Samia 100Mfute Lissu hapo, moderator rekebisha huu uzi huyo mwanasheria mwenye mikogo haingii kwenye hilo kundi kwa namna yoyote ile.
Watu na nusu hao aisee, mtu kuingia tu madarakani atataka mumjue yeye ni nani, ole wake asiemsifu ...
Kwa aliyofanyiwa Mandela kwa hulka za ciongozi wengi wa Afrika hawawezi hata kidogo.
Kwanza huyo bwanajela hata asingekua anakula muda huo, kitambo sana angeshapelekwa kuzimu.
Nyerere, mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia, hakika yangewakuta yaliyomkuta Lissu hakuna ambaye angetamani kuwa mwanasiasa, wote wamepita njia rahis ...ATABAKI KUWA LISSU TU.
Hapana ndugu wala sina makasiriko na Lissu namheshimu sana, ila kwenye hiyo story umemchanganya na kundi la watu wa level nyingine.
Sijaelewa mantiki ya mada, ni nani hao wanajiona bora kuliko Mandela? Katika aspects zipi?
Nyerere mshenzi sana ndio kasababisha umasikini wa watanzania nashangaa mnavyomuita baba yenu.
Wewe nahisi nati zimelegeaHii inaitwa:
"Kutokea kwa mfuga mbwa ndani ndani huko, macho makavu huku uso umepauka!"
Kwa hakika JF ni raha sana.
Wewe nahisi nati zimelegea
Lissu ni level ya nyerere, MandelaYamekuwa yakisikika maneno:
"JF ni Raha sana."
Kwa hakika ni kwa maana yake kamili.
Hayo ni pamoja na kuwaona baadhi ya wajumbe wakijitutumua kujaribu kuwazodoa watu ambao dunia Kwa ujumla wake imewavulia kofia.
Wandugu kwa level za kwetu kujimwambafai dhidi ya kina Lissu au Nyerere ni wenda wazimu.
Kwa level za dunia kujimwambafai dhidi ya watunukiwa nobeli (nobel laureates) yaani aina ya kina Mandela, Obama, Tutu na wa namna hiyo kwa nini isiwe zaidi burudani kwa wenye kujua maana?
Wanasema waswahili:
"Aibu mbona naona miye?"
Huyu ndiye Mandela, kwa ufupi mno katika hulka yake kama binadamu:
"After I became president, I asked my escort to go to a restaurant for lunch. We sat down and each of us asked what we wanted.
On the front table, there was a man waiting to be served. When he was served, I said to one of my soldiers: go and ask that gentleman to join us. The soldier went and conveyed my invitation to him. The man got up, took his plate and sat down right next to me.
While he ate his hands trembled constantly and he did not lift his head from his food. When we finished, he said goodbye without looking at me, I shook his hand and he left.
The soldier told me:
Madiba that man must have been very ill, seeing as his hands didn't stop shaking while he ate.-
Absolutely no! the reason for his trembling is another.
Then I told him:
That man was the warden of the prison where I stayed. After he tortured me, I screamed and cried asking for some water and he came humiliated me, laughed at me and instead of giving me water, he urinated in my head.
He is not sick, he was afraid that I, now president of South Africa, would send him to prison and do to him what he did to me. But I'm not like that, this conduct is not part of my character, nor of my ethics.
′′Minds that seek revenge destroy states, while those that seek reconciliation build nations. Walking out the door to my freedom, I knew that if I didn't leave all the anger, hatred and resentment behind me, I would still be a prisoner."
- Nelson Mandela.
100% PerfectNi kwa vile tuna siasa za hovyo tu… TL na Mchungaji mtikila walitakiwa waandikwe kwenye historia kwa maandishi ya dhahabu.
Kwa upande wa upinzani, Vijana wamefanya mazuri, lakini hawa ndugu wamewazidi wengi.
Kwa hiyo Lissu unataka kumweka kundi gani?Hapana ndugu wala sina makasiriko na Lissu namheshimu sana, ila kwenye hiyo story umemchanganya na kundi la watu wa level nyingine.
Lissu ni level ya nyerere, Mandela
.
Majizi watapinga
SawaKwa hakika ni kama mada ilivyoanza:
Yamekuwa yakisikika maneno:
"JF ni Raha sana."
🤣
Endelea kutumia ila nyerere ni tapeli namba 1 aliyewahi kutokea tanzania yaani ni jiziMajizi + Yale yenye husuda na wivu akiuongelea spika Sitta(rip).
Hapa yanatweta kwa hasira hayajui yaanzie wapi kutema nyongo.
Sawa
Endelea kutumia ila nyerere ni tapeli namba 1 aliyewahi kutokea tanzania yaani ni jizi
Sawa mkuuAjabu na kweli wapo wenye kufura kwa hasira kwa kufunikwa na wengine.
Kwamba kina Obama (nobel laureate) walimtambua na kumheshimu kama jembe? Ila kwetu kuta kinyangarika kwa mfuga mbwa huko, eti kinaona kipo vizuri kuliko Mandela?
Looh! Kwa hakika haupo wenda wazimu zaidi ya huo.
Kulikuwa na uzi humu ukiyasema haya haya kistaarabu:
Mbowe, Lissu nidhamu inaporejea wafundeni wafuasi heshima
Tufike mahali tuliite koleo Kwa jina lake!
Kwamba tatizo ujinga siyo, ila unajua? Basi abda wewe ni kiboko ya wachawi?
Huo ni mtazamo wako mkuu! ila ukweli ni kwamba Lissu hawezi kuongelewa kwa lolote sambamba na wapigania uhuru!.Kwa hiyo Lissu unataka kumweka kundi gani?
Humjui Lissu na Potential yake. Jitahudi umfahamu kaka achana na siasa za majitaka za hapa bongo.