Kujaribu kuwazodoa kina Mandela, Nyerere, Lissu, nk ni kujidhalilisha!


..Kutokulipiza kisasi ilikuwa SHARTI namba moja la Mandela kushika hatamu za Afrika Kusini.

..zaidi, Mandela hakuwa na nyenzo za kulipiza kisasi. Vyombo vya usalama bado viliendelea kuwa chini ya makaburu.

..Hata kutuma majeshi nje ya Afrika Kusini ilikuwa ni jambo gumu kwa Mandela.

..jambo lingine ni kwamba, KATIBA ya Afrika Kusini haimruhusu Rais wao kutumia vyombo vya usalama kwa uhuru kama ilivyo kwa Maraisi wengine wa Kiafrika.

..Mandela hakuwa na mamlaka na udhibiti wa vyombo vya dola kama Paul Kagame, Yoweri Museveni, na John Magufuli, halafu akajishusha, na kuacha kuyatumia vibaya.

Cc MALCOM LUMUMBA
 
Alishakuwa mzee alipotoka jela hakuwa na muda wa kuongoza nchi halafu wakati huo huo kuendekeza roho ya kisasi na chuki.

Kumbuka aliongoza kuanzia 1994 mpaka 1998 miaka minne, alishachoka kiumri, Jela ilimchosha tayari.

Alijua muda wowote ule Mungu anaweza kumuita akakwepa kuishi na visasi.
 

..Lissu ameanza kupambania rasilimali zetu tangu miaka ya 90, wakati huo Magufuli akijikomba na kufisadi na kina Mkapa, na Kikwete.

..kinachomdogosha Lissu ni kwamba yeye ni jeshi la mtu mmoja. Pia hajawahi kuwa kiongozi Mkuu, hivyo hana vyombo vya kumpamba, na kumheshimisha.

..Kuhusu nani alikuwa sahihi kati ya Lissu na Magufuli nadhani umesikia mabilioni ambayo serikali imehukumiwa kuyalipa.

..Kama Magufuli angekuwa sahihi basi Tanzania ingeshinda makesi mengi, kama sio yote, na "mabeberu" wangehukumiwa kutulipa.
 

..hata wazee wana visasi.

..Mandela hakuwa na udhibiti wa majeshi, au vyombo vya usalama, ambavyo vingemuwezesha kulipa kisasi.

..Hata kutuma majeshi DRC kuwadhibiti Rwanda na Uganda waliovamia mwanachama wa SADC Mandela aliingia mitini.
 
Kuhusu Mzee Nyerere kuwa mwadilifu hakuna mtu anayetilia shaka hili. Mtu mzandiki tu, ndiyo atasema Nyerere hakuwa mwadilifu. Tunamuita BABA WA TAIFA kwasababu zinazokubalika kabisa, He Earned It, He Deserves It.

Ukishindwa kufahamu tofauti ya kuzodoa na kukosoa hata baada ya kuambiwa hivyo repeatedly, bila shaka unajadili mada yako nyingine na si hii iliyoko mezani.



Ninachokikataa ni DEIFICATION OF NYERERE, kwamba hatakiwi asemwe kwa lolote lile, na wanaotaka kumsema wanazibwa midomo na wafuasi wake na kuitwa wajinga wanaojidhalilisha.

It's stupid to think Mzee Nyerere is beyond reproach!

Indeed ni more than stupid na ujinga uliopitiliza kujaribu kulazimisha yako yasiyopo mezani kuwa ndiyo theme of discussion.

Mada hii ni kuhusu kuzodoa tu, kama nia yako ni kujadili kukosoa, wasiokosolewa ni watakatifu peke yao.

Imeelezwa pia walioko mezani si watakatifu!

Ni hayo tu ndugu mjumbe.
 
Kumbe unaweza kuongea vizuri na kwa heshima! Good

Hakuna nilipowahi kutoongea vizuri na bila heshima. For which I need no compliments from anybody.

Above all who are you to gauge how people talk?!

==========================================
Usilazimishe wote tuwaze sawa, wala usinipangie cha kuandika!

Hakuna nilipowahi kumpangia awaye yote cha kuandika achilia mbali kuashiria hilo. Kama hii ya kwako labda hapa ni hot preemption, then it is grossly miss directed.


Mzee wetu Nyerere atazodolewa, atakosolewa na kubagazwa!

Hata kuzodolewa nilikoongelea miye kumbe wapi kumekatazwa, sembuse huko kukosolewa kwako ambako hata ikikupendeza kaanzishe uzi kabisa?


You can wallow and drench in your own sorrows, much as you like, but one thing you cannot do is having a monopoly over intellectual discourse and turning them into your oyster as a Shakespearean character Sir John Falstaff.

Hapa naona ulikuwa ukijifurahisha katika irrelevance. Sina hakika kwa lengo lipi?

Anything irrelevant is of no value to me!


Hayupo niliyemwita jina kama ulivyojaribu kuniita wewe.

Kuita watu majina nilikuasa, ni dalili za kufilisika kimawazo ambako si kila mtu anaendekeza.

=============================================
Uwe na siku njema mkuu.

Kwani unadhani hata unayo influence yoyote kwenye empty wishes zako, kama hiyo?
 

Kwamba nitakapofika umri kama wako ..?!

Aya hii ni ya kuambia ndege kwa maana hunijui na sikujui.

Kulikoni kujihesabia haki kizezeta zezeta hivyo?

Kwani text book definition ya wenda kuzimu inasema je ndugu?


Wapi mada hii imejikita kumzungumzia Nyerere? Hivi hata ni maneno mangapi kuhusu Nyerere yamo kwenye mada?

Si kuwa Nyerere una mleta hapa kama kisingizio tu?

Si kuwa mzizi wote wa fitina ni Lissu?

Kwani utamdanganya nani ndugu?

Kwamba mimi nimemsoma ila Einstein wewe umekutana naye? So what? Kwani ungependa ku establish nini?

Kwani wewe ni mkusanya taarifa za watu mitandaoni?


Mzee Nyerere amezodolewa na watu wazalendo wenye mchango mkubwa kwenye hili taifa na akili nyingi kuliko hata wewe na ukoo wako wote.

Tafuta kamusi kujiridhisha unajua maana ya kuzodoa. Kwamba kutokea kwa mfuga mbwa waweza mzodoa Mandela na nyuso zilizopauka kwani kuna tatizo wapi au na nani?


Wewe mtoto wa juzi ni nani kutaka kuwapangia watu cha kusema ??? Inaonesha uko na elimu nzuri, ila una mchango gani kwenye hili taifa walau ulazimishe tukusikie hapa wewe ???

Kwamba mimi ni nani, au mtoto wa lini linakuja vipi hapa? Kwamba ungependa ku establish nini hasa?

Kwani wewe ni katika wale wasaka watu mitandaoni?

Au ungependa na mimi kuuliza maswali utopolo kama hayo?

"Consider to dedicate those to passing birds."

Wapi nimemtaka yeyote kunisikia? Si kuwa wewe ni katika wale mliojawa na husuda zenu kwa majina yale na hapa uko kwenye kujitutumua Kwa hasira?

Kwamba nina appreciation mno na walioifanyia makubwa dunia au nchi hii, ni uthibitisho tosha kuwa sina claim yoyote ya recognition of my own.

Kwamba mwenye claim ya recognition mbona unasomeka kuwa ni wewe unayeonekana kujishasha kukutana na kina Nyerere na hata kuwaita wengine kuwa watoto wa juzi kana kwamba wewe ni somebody!

Vipi Mandela naye hukupata kukutana naye japo hapo kwa binti nyau, ndugu?

Kwamba kumbe wewe ni somebody fulani siyo? Mara ngapi umeitishwa kutuwekea angalau CV yako ili kama vipi nawe kama wao tukuunganishe kwenye list ya usiowavulia kofia hao, au ikibidi uwafunike wote uwe mbadala?

Short of that who the hell are you kumwita awaye yote usiyemjua kuwa mtoto au kujihesabia chembe yoyote ya haki ndugu?


Iko kwenye mada kuwazodoa wakiwamo hao miamba ruksa. Wapi umesoma kuwazodoa ni marufuku? Kwani shule ulikwenda kusomea ujinga ndugu?


Beyond Books, and False Bravado Behind Laptop, umelifanyia nini hili taifa utake kutupangia cha kusema wewe ???

Who are you ???

Wapi nimejishasha kulifanyia lolote taifa hili?

Wazi wazi nimewasifu waliolifanyia taifa na dunia makuu, ambapo bila kutuambia wewe ulichofanya unaendelea kuwa haumo. Hata hivyo mlango haujafungwa kwa ajili yako ndugu msomi.

Kwani wewe labda umelifanyia nini taifa au dunia, ili kama vipi na wewe tukuorodheshe?

Waonesha una makasiriko kweli kweli.

Au ni kwa sababu Lissu yuko mle?

I hope you see it, candidly as it is:

"You won't be able to fool all the people all the time."
 
Lissu alipigwa risasi na Magufuri na akafutwa ubunge na Ndugai lakini bado anadunda na nafasi ya kuja kuwa kiongozi mkubwa bado ipo.

Ajabu na kweli kuna makamanda wenye makasiriko kuliko hata ma CCM wakisikia Lissu kupewa maua yake.
 
Nimegusa panapouna na umekasirika kwelikweli! Vizuri kabisa!

Wapi unapodhani palipo uma? Ukweli mchungu huu unaweza ugonjwa ndugu?

Kuna ugonjwa unaitwa psychosis una dalili sawia kama hizi.

Tafadhali: "don't take it personal."

Kwamba unaweza ghafla kuanza kuota ndoto za mchana kuwa hivi sasa ni usiku na hivyo kujiaminisha na kurejea kuvuta blanket?!

Ungefikiria kuwahi kumwona daktari.

Au kukuonyesha unaonekana kuwa na makasiriko na Lissu nitakuwa nimepiga penyewe sawia kabisa?

Kwamba kama kina Nyerere na wengine nikikuona wewe una husuda nao, kumbe inihusu nini mimi?


Wapi umeitwa zezeta au hata wapi nimejihesabia haki? Au ndiyo sasa uko kwenye Ile ya kuwa lisemwalo lipo na kama halipo laja?

Kwamba umesema umeitwa zezeta enhe, endelea kutuhabarisha majina yako mengine ikikupendeza.

Kwamba nyani yupi umwongeleaye wewe kabla ya kujiangalia nyani wewe kama waliona k*ndu lako?


Hizi ni tabia za kike, ambazo mtoto wa kiume anayejitanabaisha kuwa mfuasi wa Mzee Nyerere, Mzee Mandela na Wakili Tundu Lissu hatakiwi kuzionesha. Wewe unayelazimisha hapa kuwasemea na kuwaita watu wajinga, WEWE NI NANI HAPA TANZANIA ???

Tabia za kike mbona unazo wewe? Unaonekana kuupenda sana udada ndugu. Kulikoni uoneshe kuuhusudu hivyo?

Watu wa aina yako vijiweni huhojiwa u riziki wao. Zingatia miye natoa taarifa tu na mjumbe hauwawi.

Kwamba mada ile wapi ikakupe makasiriko yote haya? Wala hujishangai? Ni mada kweli au Kuna usimpenda pale na sasa unadhani utamchuuza nani?



Kwamba Lissu unamheshimu mdomoni siyo. Hata chura kiziwi, makonda na wengi wamchukiao mchana hujinasibu kumheshimu mno. Kwani na usiku au faraghani ni hivyo hivyo?

Kwamba kumbe umekereka wapi na huu uzi kumshawishi nani kuwa si Lissu? Kwamba ni Nyerere au Mandela?

Fumbo fumbieni wajinga ila ipo kwenye record:

"Ajabu na kweli kuna makamanda wenye makasiriko kuliko hata ma CCM wakisikia Lissu kupewa maua yake."

Kwani katika makamanda hao yupo mwenye kujitokeza hadharani kuuikiri ukweli huo ambao uko wazi bin bayana?

Kwa hakika post #2 iliwatambua mno makamanda wote walio wenye vibiongo vya husuda.

Vipi kwani na wewe ni mmoja wao?


Kwamba umesoma nao, wapi nani kakubishia? Ila hatukujui na above all, so what?

Kusoma nao? Wengine wamewafunza lakini hawafuzu kuwa hapa.

Weka yako hapa tumekwambia ikikupendeza ili kama vipi labda wewe ni jembe zaidi tukuongeze kwenye list ambayo kuzodolewa ki mfuga mbwa style ni kujidhalilisha.

Taabu iko wapi?

Kwamba hujafanya hivyo hatukujui na tulipo wewe kama ilivyo kwa Deo Kisandu hamwezi kukwea waliko waungwana hao.

Kulikoni kuwachukia wenye kukupiku au kutu impress ndugu?


Binafsi, Mzee Nyerere na Advocate Lissu nawakubali mchango wao, tena siwezi hata kujifananisha nao. Ila nimebahatika kuwafahamu binafsi tofauti na kuwasoma kwenye vitabu. Hivyo wewe bwana mdogo unapozuia nisiwazodoe nakushangaa mno.

Ungekuwa na busara kidogo ungefahamu u big brother wa kujipa kizezeta zezeta hauna nafasi JF.

Ni muhimu mno ukielewe kiswahili.

===========================================

Kuhusu mchango wangu kwa Tanzania. Naweza nisiwafikie kina Mzee Nyerere wala Advocate Lissu, lakini surely siwezi kuwa katika kiwango kimoja na wewe.

Hayo tena ni ya kwako na zaidi sana pambana na hali yako ndugu.

Ukimaliza kupambana vilivyo na ikikupendeza tuwekee sasa hiyo CV tuone ilichonacho.

Ikituvutia hatuja wahi kuacha kumpa kila mja maua yake hata kama waliojidhania majogoo wangenuna au kukasirika hadi wakapasuka misamba!


Katika nafasi yangu mpaka leo, walau naweza kusimama hadharani na kujivuna kabisa kwamba nimeifanyia kitu nchi yangu ya Tanzania, siyo mara moja wala mara mbili. Hivyo I've earned the right to KUZODOA, KUBAGAZA NA KUSIMANGA ANYONE.

Usitake ncheke. Kina Lissu na timu ile hawapo hapo kwa kujipigia wao upatu.

Fanya mavitu ndugu. Hayo hayajifichi mbona tutayaona tu? Huko ndiko wengine huita magomani.

Tuonane kwenye magoma ndugu. Chuki za nini?


Mimi ni nani? Wapi nimeonyesha au kujishasha mimi ni nani?

Nikurejee ulikojishasha? Kwa hakika ni kwingi mno na Kwa bahati mbaya kupo tupu.

Kwamba wewe umesoma? Kwamba wewe ni big brother? Kwamba wewe, wewe, wewe nk, nk?

Looh!

Huu u wewe si ukae nao? Kwani nani umeona anautaka ndugu?

Beberu ana neno lake moja mahsusi:

"Disgusting!"

Waswahili wakisema chema chajiuza!
 

Kimsingi kwenye ka list hako huwa hatuendelei Tena kujibizana nao. Baada ya kuwapa vidonge vyao.

Kwani kumbe tofauti yetu nao itakuwa ipi.
 
Anaishi kwa kutegemea huruma za watu lakini hana viwango vya kuwekwa kundi moja na Mandela na Nyerere.

Mandela: mwanasiasa, lawyer, rais mstaafu, mpigania haki kindaki ndaki na nobeli laurete kuyasema machache.

Nyerere: mwanasiasa, mwalimu,rais mstaafu na mpigania haki kindaki ndaki kuyasema machache

Lissu: mwanasiasa, lawyer, mpigania haki kindaki ndaki kuyasema machache.

Hata Nyerere kuna makundi hakai na Mandela.

Mada uliielewa lakini ndugu?
 
Mandela rais mstaafu, mpigania haki kindaki ndaki na nobeli laurete.

Nyerere rais mstaafu na mpigania haki kindaki ndaki.

Lissu mpigania haki kindaki ndaki.

Hata Nyerere kuna makundi hakai na Mandela.

Mada uliielewa lakini ndugu?
Lissu hajafikia viwango vya kuwekwa kundi moja na hao waasisi wa afrika.

Lissu ni mwanaharakati sawa na hawa kina Fatuma Karume, watu wakupost maoni yao huko instagram.

Nyerere/Mandela ni sawa na George Washington kule Marekani, huwezi kumlinganisha na mwanaharakati Jesse Jackson.

Huwezi kumlinganisha mwasisi wa Taifa na mwanaharakati aliyezaliwa miaka mingi baadae.
 

Kwamba Lissu kawakera hivi? Si bure.

Tulikuomba CV yako kuona unaweza fit wapi.

Kwamba hata kundi la wanasiasa, binadamu, ma lawyer, walimu, waafrika, watanzania, waafrika Kusini nk, kote huko ungependa Lissu asiwe na nafasi?

Kwani wewe ulikuwa na wale waliofanyiza tukio Dodoma?
 
Namheshimu sana Lissu haswa mchango wake katika kuwachangamsha CCM wasibweteke na kujiona wao ndio kila kitu.

Sikubaliani na wazo lolote linalowashusha waasisi wa mataifa ya afrika kiasi cha kuwalinganisha na wanaharakati walioanza kufanya siasa miaka mingi baada ya wao kuaga dunia.
 
Mtoe Nyerere katikati ya hao vibaraka
 

Au hata uliielewa mada lakini kutambua haina chochote na ulinganifu wa watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…