Nimegusa panapouna na umekasirika kwelikweli! Vizuri kabisa!
Wapi unapodhani palipo uma? Ukweli mchungu huu unaweza ugonjwa ndugu?
Kuna ugonjwa unaitwa psychosis una dalili sawia kama hizi.
Tafadhali: "don't take it personal."
Kwamba unaweza ghafla kuanza kuota ndoto za mchana kuwa hivi sasa ni usiku na hivyo kujiaminisha na kurejea kuvuta blanket?!
Ungefikiria kuwahi kumwona daktari.
Au kukuonyesha unaonekana kuwa na makasiriko na Lissu nitakuwa nimepiga penyewe sawia kabisa?
Kwamba kama kina Nyerere na wengine nikikuona wewe una husuda nao, kumbe inihusu nini mimi?
Kweli Nyani haini kundule, unaniita mimi zezeta ukiwa umesahau kwamba wewe binafsi ndiyo uliyeeanza huo UZEZETA WA KUJIHESABIA HAKI kabla yangu, hasahasa pale ambapo unawaita watu wenye mawazo tofuati na wewe WAFUGA MBWA WA PORINI na HAWAWEZI KUKUAMBIA KITU KWASABABU UMEYAFAHAMU MAJENGO KABLA YAO.
Wapi umeitwa zezeta au hata wapi nimejihesabia haki? Au ndiyo sasa uko kwenye Ile ya kuwa lisemwalo lipo na kama halipo laja?
Kwamba umesema umeitwa zezeta enhe, endelea kutuhabarisha majina yako mengine ikikupendeza.
Kwamba nyani yupi umwongeleaye wewe kabla ya kujiangalia nyani wewe kama waliona k*ndu lako?
Hizi ni tabia za kike, ambazo mtoto wa kiume anayejitanabaisha kuwa mfuasi wa Mzee Nyerere, Mzee Mandela na Wakili Tundu Lissu hatakiwi kuzionesha. Wewe unayelazimisha hapa kuwasemea na kuwaita watu wajinga, WEWE NI NANI HAPA TANZANIA ???
Tabia za kike mbona unazo wewe? Unaonekana kuupenda sana udada ndugu. Kulikoni uoneshe kuuhusudu hivyo?
Watu wa aina yako vijiweni huhojiwa u riziki wao. Zingatia miye natoa taarifa tu na mjumbe hauwawi.
Kwamba mada ile wapi ikakupe makasiriko yote haya? Wala hujishangai? Ni mada kweli au Kuna usimpenda pale na sasa unadhani utamchuuza nani?
Narudia tena kukuambia, Wakili TUNDU LISSU namheshimu na nimemfahamu kabla yako miaka zaidi ya thelathini nyuma. Hata majuzi nilikuwa naye DODOMA KWENYE UCHAGUZI WA TLS. Tunampenda sana ndugu LISSU, ila hatuwezi kuacha kumzodoa, kumkosoa na kumbagaza, hata mwenyewe akiwepo.
Kwamba Lissu unamheshimu mdomoni siyo. Hata chura kiziwi, makonda na wengi wamchukiao mchana hujinasibu kumheshimu mno. Kwani na usiku au faraghani ni hivyo hivyo?
Kwamba kumbe umekereka wapi na huu uzi kumshawishi nani kuwa si Lissu? Kwamba ni Nyerere au Mandela?
Fumbo fumbieni wajinga ila ipo kwenye record:
"
Ajabu na kweli kuna makamanda wenye makasiriko kuliko hata ma CCM wakisikia Lissu kupewa maua yake."
Kwani katika makamanda hao yupo mwenye kujitokeza hadharani kuuikiri ukweli huo ambao uko wazi bin bayana?
Kwa hakika post #2 iliwatambua mno makamanda wote walio wenye vibiongo vya husuda.
Vipi kwani na wewe ni mmoja wao?
========================================
KUHUSU CV yangu, nimefurahi na kuona kwamba mbali na kunipiga vijembe hapa, kumbe huwa unanifuatilia na kunisoma kimya kimya hadi kufahamu kutaka kuijua CV yangu.
Humu ndani JF wengi mno wananifahamu. Wengine nimesoma nao, wengine nimewahi kufanya nao kazi, wengine nimewahi kuwafundisha chuo kikuu, na wengine tumefahamiana hapa. Hivyo nashangaa mbali na umbea wa kunifuatilia, bado hujanifahamu tu.
Kwamba umesoma nao, wapi nani kakubishia? Ila hatukujui na above all, so what?
Kusoma nao? Wengine wamewafunza lakini hawafuzu kuwa hapa.
Weka yako hapa tumekwambia ikikupendeza ili kama vipi labda wewe ni jembe zaidi tukuongeze kwenye list ambayo kuzodolewa ki mfuga mbwa style ni kujidhalilisha.
Taabu iko wapi?
Kwamba hujafanya hivyo hatukujui na tulipo wewe kama ilivyo kwa Deo Kisandu hamwezi kukwea waliko waungwana hao.
Kulikoni kuwachukia wenye kukupiku au kutu impress ndugu?
Binafsi, Mzee Nyerere na Advocate Lissu nawakubali mchango wao, tena siwezi hata kujifananisha nao. Ila nimebahatika kuwafahamu binafsi tofauti na kuwasoma kwenye vitabu. Hivyo wewe bwana mdogo unapozuia nisiwazodoe nakushangaa mno.
Ungekuwa na busara kidogo ungefahamu u big brother wa kujipa kizezeta zezeta hauna nafasi JF.
Ni muhimu mno ukielewe kiswahili.
===========================================
Kuhusu mchango wangu kwa Tanzania. Naweza nisiwafikie kina Mzee Nyerere wala Advocate Lissu, lakini surely siwezi kuwa katika kiwango kimoja na wewe.
Hayo tena ni ya kwako na zaidi sana pambana na hali yako ndugu.
Ukimaliza kupambana vilivyo na ikikupendeza tuwekee sasa hiyo CV tuone ilichonacho.
Ikituvutia hatuja wahi kuacha kumpa kila mja maua yake hata kama waliojidhania majogoo wangenuna au kukasirika hadi wakapasuka misamba!
Katika nafasi yangu mpaka leo, walau naweza kusimama hadharani na kujivuna kabisa kwamba nimeifanyia kitu nchi yangu ya Tanzania, siyo mara moja wala mara mbili. Hivyo I've earned the right to KUZODOA, KUBAGAZA NA KUSIMANGA ANYONE.
Usitake ncheke. Kina Lissu na timu ile hawapo hapo kwa kujipigia wao upatu.
Fanya mavitu ndugu. Hayo hayajifichi mbona tutayaona tu? Huko ndiko wengine huita magomani.
Tuonane kwenye magoma ndugu. Chuki za nini?
========================================
Wewe ni nani nchini hapa utake kutupangia cha kusema ???
Maneno yako yalinifanya hadi nikuhisi wewe ni MWANAMAMA, kumbe MTOTO WA KIUME.
Grow up and stop behaving like a SISSY.
Ila ukitaka endelea kupiga taarabu, na kutukana, japo sijaona tusi jipya ambalo unaweza kuniteleta likanikera.!!!!
Mimi ni nani? Wapi nimeonyesha au kujishasha mimi ni nani?
Nikurejee ulikojishasha? Kwa hakika ni kwingi mno na Kwa bahati mbaya kupo tupu.
Kwamba wewe umesoma? Kwamba wewe ni big brother? Kwamba wewe, wewe, wewe nk, nk?
Looh!
Huu u wewe si ukae nao? Kwani nani umeona anautaka ndugu?
Beberu ana neno lake moja mahsusi:
"Disgusting!"
Waswahili wakisema chema chajiuza!