GE2025 Kujenga Nchi ni Pamoja na Kukaa Meza ya Mazungumzo Kujadiliana na Kukubaliana

GE2025 Kujenga Nchi ni Pamoja na Kukaa Meza ya Mazungumzo Kujadiliana na Kukubaliana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Ndio kujenga nchi ni Jambo ngumu sana hutaki kukaa kwenye Meza ya Mazungumzo Je, hawa wanaotaka kuandamana hoja yao nini?

Mazungumzo yaliwahi kufanyika na kujua wao wanataka nini?

Tujenge tabia ya Kukaa Mezani Kujadiliana na kukubaliana hii itasandia kujenga nchi. Hata baada ya Uchaguzi lazima tufanye majadiliano na kukaa mezani kwa Mustakabali wa nchi leo wanaweza kua wa chache lakini huwezi kujua Miaka mitano ijayo.

Tujifunze tukubali kujifunza lakini kila siku wakitaka kuandamana mkawatisha na vyombo vya dola hiyo siyo ya kuitegemea sana mara nyingi Umma uwa unashinda.

Kwa nini tufike Uko tujifunze kujadilina na Kukubali kujifunza
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Kwasababu lengo letu sote ni kujenga Tanzania moja Dialogue iwe sehemu muhimu.
 
Ndio kujenga nchi ni Jambo ngumu sana hutaki kukaa kwenye Meza ya Mazungumzo Je hawa wanaotaka kuandamana hoja yao nini? Mazungumzo yaliwahi kufanyika na kujua wao wanataka nini? Tujenge tabia ya Kukaa Mezani Kujadiliana na kukubaliana hii itasandia kujenga nchi. Hata baada ya Uchaguzi lazima tufanye majadiliano na kukaa mezani kwa Mustakabali wa nchi leo wanaweza kua wa chache lakini huwezi kujua Miaka mitano ijayo. Tujifunze tukubali kujifunza lakini kila siku wakitaka kuandamana mkawatisha na vyombo vya dola hiyo siyo ya kuitegemea sana mara nyingi Umma uwa unashinda.Kwa nini tufike Uko tujifunze kujadilina na Kukubali kujifunza

Yaani CCM ikae meza moja na wengine kwa majadiliano? Si rahisi kabisa. Zaidi ya asiilimia 50 ya viongozi wa CCM ni maaskari myamvuli( usalama kitengo)
 
Kwasababu lengo letu sote ni kujenga Tanzania moja Dialogue iwe sehemu muhimu.
Ndio viongozi wetu wakubali kujifunza na kujifunza ndo kujenga lazima upate maumivu ilo halikwepeki ndo kitu maumivu bora sasa unaweza kusevu kitu kwa majadiliano
 
Ndio viongozi wetu wakubali kujifunza na kujifunza ndo kujenga lazima upate maumivu ilo halikwepeki ndo kitu maumivu bora sasa unaweza kusevu kitu kwa majadiliano
Hapa kinachotakiwa ni kuaminiana sio kutoleana majina kwamba wewe fisadi yule mhuni sijui ponjoro nk.
 
Majadiliano ndo maisha
Sisi sote ni wa Tanzania, mababu na mabibi zetu wanepigania uhuru ili tuishi wote kwa Amani , Haki, upendo, na mafanikio makubwa ya kiuchumi.

Hakuna kinacho shindikana kwenye meza ya mazungumzo ya ki diplomatic, na sio kulazimishana
 
Mazungumzo ni bora sana kwenye kujenga nchi kuna Kujifunza na kwenye kujifunza ndo kuna maumivu kuna watu wataumia wengine wajifunze sasa aya huwa ni mabadiliko ambayo huwa hayakwepeki sasa bora kulinda ulicho nacho kuliko kukipoteza kabisa Kwa mazungumzo CCM inaweza kuendelea utawala bila hata kelele nyingi sema Uoga
 
Hao jamaa hawataki kuachia na wako tayari kuliingiza taifa kwenye civil war sasa kuliko tupigane for the next 30yrs kama Somalia ni bora tu mseto fulani.
Lisu anataka kuwa rais.kama ofa uenda alishapewa akakataa.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
Ushachanganyikiwa mwenyewe kabla hata ya October 29
 
Back
Top Bottom