GE2025 Kujenga Nchi ni Pamoja na Kukaa Meza ya Mazungumzo Kujadiliana na Kukubaliana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ndio kujenga nchi ni Jambo ngumu sana hutaki kukaa kwenye Meza ya Mazungumzo Je hawa wanaotaka kuandamana hoja yao nini? Mazungumzo yaliwahi kufanyika na kujua wao wanataka nini? Tujenge tabia ya Kukaa Mezani Kujadiliana na kukubaliana hii itasandia kujenga nchi. Hata baada ya Uchaguzi lazima tufanye majadiliano na kukaa mezani kwa Mustakabali wa nchi leo wanaweza kua wa chache lakini huwezi kujua Miaka mitano ijayo. Tujifunze tukubali kujifunza lakini kila siku wakitaka kuandamana mkawatisha na vyombo vya dola hiyo siyo ya kuitegemea sana mara nyingi Umma uwa unashinda.Kwa nini tufike Uko tujifunze kujadilina na Kukubali kujifunza
Katika mabaya yote wanayofanya CCM hili la kuwakata wagombea wa upinzani na kudai hawajui kusoma wala kuandika ila babu tale na msukuma wao wanajaza fomu sawa hili haliitaji kukaa mezani linahitaji kuingia barabarani CCM washamba sana.
 
Kweni tukiwa na Serikali ya mseto madaraka hata yakibaki kwao mpaka pale watakapotuamini.
Samia amesema usichague upinzani hatoleta maendeleo chagua wabunge wa ccm.kuna serikali ya mseto kweli hapo?ikiwa hata wabunge na madiwani tu wanataka WOTE wawe ccm?
 
Huo sio Uchaguzi huo ni Uchafuzi ndio maana sisi hatutohusika kama CHADEMA ndio maana nasema kama wao CCM hawataki Uchaguzi basi tukae chini tuzungumze.
 
Mazungumzo ni bora sana kwenye kujenga nchi kuna Kujifunza na kwenye kujifunza ndo kuna maumivu kuna watu wataumia wengine wajifunze sasa aya huwa ni mabadiliko ambayo huwa hayakwepeki sasa bora kulinda ulicho nacho kuliko kukipoteza kabisa Kwa mazungumzo CCM inaweza kuendelea utawala bila hata kelele nyingi sema Uoga
Alafu mama ni MTU anae Aminaka sana kwa wengi , kama angekubali mazungumzo ,

Sema CCM asili inamtaka mambo magumu sana
 
Ndio kujenga nchi ni Jambo ngumu sana hutaki kukaa kwenye Meza ya Mazungumzo Je hawa wanaotaka kuandamana hoja yao nini? Mazungumzo yaliwahi kufanyika na kujua wao wanataka nini? Tujenge tabia ya Kukaa Mezani Kujadiliana na kukubaliana hii itasandia kujenga nchi. Hata baada ya Uchaguzi lazima tufanye majadiliano na kukaa mezani kwa Mustakabali wa nchi leo wanaweza kua wa chache lakini huwezi kujua Miaka mitano ijayo. Tujifunze tukubali kujifunza lakini kila siku wakitaka kuandamana mkawatisha na vyombo vya dola hiyo siyo ya kuitegemea sana mara nyingi Umma uwa unashinda.Kwa nini tufike Uko tujifunze kujadilina na Kukubali kujifunza
Mifumo inawaneemesha watawala sio rahisi kukaa kwenye meza ya majadiliano ambayo ili suluhisho lipatikane ni lazima wakubali kuachia hiyo neema
 
Serikali zote zilizotulia zimekubali kula na watu
 
Ndio kujenga nchi ni Jambo ngumu sana hutaki kukaa kwenye Meza ya Mazungumzo Je hawa wanaotaka kuandamana hoja yao nini? Mazungumzo yaliwahi kufanyika na kujua wao wanataka nini? Tujenge tabia ya Kukaa Mezani Kujadiliana na kukubaliana hii itasandia kujenga nchi. Hata baada ya Uchaguzi lazima tufanye majadiliano na kukaa mezani kwa Mustakabali wa nchi leo wanaweza kua wa chache lakini huwezi kujua Miaka mitano ijayo. Tujifunze tukubali kujifunza lakini kila siku wakitaka kuandamana mkawatisha na vyombo vya dola hiyo siyo ya kuitegemea sana mara nyingi Umma uwa unashinda.Kwa nini tufike Uko tujifunze kujadilina na Kukubali kujifunza
Alie kataa maridhiano/mazungumzo humjui? au huwajui?
 
Back
Top Bottom