Joe1016
JF-Expert Member
- May 25, 2025
- 481
- 820
Ni kama bado haamini kama raia watakiwasha kweli subiri ashuhudie mbele ya macho yakeHii chance Bado ipo aitumie vizuri
Ni kama bado haamini kama raia watakiwasha kweli subiri ashuhudie mbele ya macho yakeHii chance Bado ipo aitumie vizuri
Ndio kujenga nchi ni Jambo ngumu sana hutaki kukaa kwenye Meza ya Mazungumzo Je, hawa wanaotaka kuandamana hoja yao nini?
Mazungumzo yaliwahi kufanyika na kujua wao wanataka nini?
Tujenge tabia ya Kukaa Mezani Kujadiliana na kukubaliana hii itasandia kujenga nchi. Hata baada ya Uchaguzi lazima tufanye majadiliano na kukaa mezani kwa Mustakabali wa nchi leo wanaweza kua wa chache lakini huwezi kujua Miaka mitano ijayo.
Tujifunze tukubali kujifunza lakini kila siku wakitaka kuandamana mkawatisha na vyombo vya dola hiyo siyo ya kuitegemea sana mara nyingi Umma uwa unashinda.
Kwa nini tufike Uko tujifunze kujadilina na Kukubali kujifunza
Stop this foolishness, mnataka muibe ndo mtake mazungumzo baada ya dalili zote za kukataliwa na umma kuwa dhahiri? You never saw this coming fool heads.Ndio kujenga nchi ni Jambo ngumu sana hutaki kukaa kwenye Meza ya Mazungumzo Je, hawa wanaotaka kuandamana hoja yao nini?
Mazungumzo yaliwahi kufanyika na kujua wao wanataka nini?
Tujenge tabia ya Kukaa Mezani Kujadiliana na kukubaliana hii itasandia kujenga nchi. Hata baada ya Uchaguzi lazima tufanye majadiliano na kukaa mezani kwa Mustakabali wa nchi leo wanaweza kua wa chache lakini huwezi kujua Miaka mitano ijayo.
Tujifunze tukubali kujifunza lakini kila siku wakitaka kuandamana mkawatisha na vyombo vya dola hiyo siyo ya kuitegemea sana mara nyingi Umma uwa unashinda.
Kwa nini tufike Uko tujifunze kujadilina na Kukubali kujifunza
Tatizo ni nini mkuu mbona kama umepanic hii ni sehemu ya mjadala huru ukipanic unaonekana hata Wewe ukipata madaraka utateka watu kama unaweza kupanic kisa maandishi vipi ukikosolewa ukiwa na power si utatumaliza?Stop this foolishness, mnataka muibe ndo mtake mazungumzo baada ya dalili zote za kukataliwa na umma kuwa dhahiri? You never saw this coming fool heads.
Halaf akina Kigaila na Zitto Kabwe si wapo? Mnamtaka nani mwingine wa kuzungumza naye? Pumbavu kabisa🚮🚮🚮🚮
Mimi nilitoa mawazo yangu sijui kama yatakubaliwa..kwanini majadiliano ya maridhiano yasianze sasa na kuendelea hata baada ya uchaguzi.
..haileti mantiki serikali na Ccm kuteka na kupoteza wapinzani kipindi hiki cha kampeni, huku wakisema maridhiano yatafanyika baada ya uchaguzi.
Mimi nilitoa mawazo yangu sijui kama yatakubaliwa