Ndio kujenga nchi ni Jambo ngumu sana hutaki kukaa kwenye Meza ya Mazungumzo Je hawa wanaotaka kuandamana hoja yao nini? Mazungumzo yaliwahi kufanyika na kujua wao wanataka nini? Tujenge tabia ya Kukaa Mezani Kujadiliana na kukubaliana hii itasandia kujenga nchi. Hata baada ya Uchaguzi lazima tufanye majadiliano na kukaa mezani kwa Mustakabali wa nchi leo wanaweza kua wa chache lakini huwezi kujua Miaka mitano ijayo. Tujifunze tukubali kujifunza lakini kila siku wakitaka kuandamana mkawatisha na vyombo vya dola hiyo siyo ya kuitegemea sana mara nyingi Umma uwa unashinda.Kwa nini tufike Uko tujifunze kujadilina na Kukubali kujifunza
Ndio viongozi wetu wakubali kujifunza na kujifunza ndo kujenga lazima upate maumivu ilo halikwepeki ndo kitu maumivu bora sasa unaweza kusevu kitu kwa majadilianoKwasababu lengo letu sote ni kujenga Tanzania moja Dialogue iwe sehemu muhimu.
Hapa kinachotakiwa ni kuaminiana sio kutoleana majina kwamba wewe fisadi yule mhuni sijui ponjoro nk.Ndio viongozi wetu wakubali kujifunza na kujifunza ndo kujenga lazima upate maumivu ilo halikwepeki ndo kitu maumivu bora sasa unaweza kusevu kitu kwa majadiliano
Sisi sote ni wa Tanzania, mababu na mabibi zetu wanepigania uhuru ili tuishi wote kwa Amani , Haki, upendo, na mafanikio makubwa ya kiuchumi.Majadiliano ndo maisha
Kwamba wagawane WOTE keki ya taifa?Kwasababu lengo letu sote ni kujenga Tanzania moja Dialogue iwe sehemu muhimu.
Mazungumzo ni bora sana kwenye kujenga nchi kuna Kujifunza na kwenye kujifunza ndo kuna maumivu kuna watu wataumia wengine wajifunze sasa aya huwa ni mabadiliko ambayo huwa hayakwepeki sasa bora kulinda ulicho nacho kuliko kukipoteza kabisa Kwa mazungumzo CCM inaweza kuendelea utawala bila hata kelele nyingi sema UogaSisi sote ni wa Tanzania, mababu na mabibi zetu wanepigania uhuru ili tuishi wote kwa Amani , Haki, upendo, na mafanikio makubwa ya kiuchumi.
Hakuna kinacho shindikana kwenye meza ya mazungumzo ya ki diplomatic, na sio kulazimishana
Hao jamaa hawataki kuachia na wako tayari kuliingiza taifa kwenye civil war sasa kuliko tupigane for the next 30yrs kama Somalia ni bora tu mseto fulani.Kwamba wagawane WOTE keki ya taifa?
Lisu anataka kuwa rais.kama ofa uenda alishapewa akakataa.Hao jamaa hawataki kuachia na wako tayari kuliingiza taifa kwenye civil war sasa kuliko tupigane for the next 30yrs kama Somalia ni bora tu mseto fulani.
Kwa hyo waibe ila walete na maendeleo?Keki ya TAIFA kwa mwananchi ni maendeleo
Wamtoe Gerezani kwanza halafu yufanye mazungumzo.Lisu anataka kuwa rais.kama ofa uenda alishapewa akakataa.
Ushachanganyikiwa mwenyewe kabla hata ya October 29Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.
Siku hiyo kazi ni rahisi sana
Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.
Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu
VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu
Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu
Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.
Share na mwenzako
Hataki kunyamazishwa kama mbowe.ndo shida hapoWamtoe Gerezani kwanza halafu yufanye mazungumzo.