GE2025 Kujenga Nchi ni Pamoja na Kukaa Meza ya Mazungumzo Kujadiliana na Kukubaliana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Katika mabaya yote wanayofanya CCM hili la kuwakata wagombea wa upinzani na kudai hawajui kusoma wala kuandika ila babu tale na msukuma wao wanajaza fomu sawa hili haliitaji kukaa mezani linahitaji kuingia barabarani CCM washamba sana.
 
Kweni tukiwa na Serikali ya mseto madaraka hata yakibaki kwao mpaka pale watakapotuamini.
Samia amesema usichague upinzani hatoleta maendeleo chagua wabunge wa ccm.kuna serikali ya mseto kweli hapo?ikiwa hata wabunge na madiwani tu wanataka WOTE wawe ccm?
 
Samia amesema usichague upinzani hatoleta maendeleo chagua wabunge wa ccm.kuna serikali ya mseto kweli hapo?ikiwa hata wabunge na madiwani tu wanataka WOTE wawe ccm?
Huo sio Uchaguzi huo ni Uchafuzi ndio maana sisi hatutohusika kama CHADEMA ndio maana nasema kama wao CCM hawataki Uchaguzi basi tukae chini tuzungumze.
 
Alafu mama ni MTU anae Aminaka sana kwa wengi , kama angekubali mazungumzo ,

Sema CCM asili inamtaka mambo magumu sana
 
Mifumo inawaneemesha watawala sio rahisi kukaa kwenye meza ya majadiliano ambayo ili suluhisho lipatikane ni lazima wakubali kuachia hiyo neema
 
Mifumo inawaneemesha watawala sio rahisi kukaa kwenye meza ya majadiliano ambayo ili suluhisho lipatikane ni lazima wakubali kuachia hiyo neema
Serikali zote zilizotulia zimekubali kula na watu
 
Alie kataa maridhiano/mazungumzo humjui? au huwajui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…