GE2025 Kujenga Nchi ni Pamoja na Kukaa Meza ya Mazungumzo Kujadiliana na Kukubaliana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

..kwanini majadiliano ya maridhiano yasianze sasa na kuendelea hata baada ya uchaguzi.

..haileti mantiki serikali na Ccm kuteka na kupoteza wapinzani kipindi hiki cha kampeni, huku wakisema maridhiano yatafanyika baada ya uchaguzi.
 
Stop this foolishness, mnataka muibe ndo mtake mazungumzo baada ya dalili zote za kukataliwa na umma kuwa dhahiri? You never saw this coming fool heads.

Halaf akina Kigaila na Zitto Kabwe si wapo? Mnamtaka nani mwingine wa kuzungumza naye? Pumbavu kabisa🚮🚮🚮🚮
 
Tatizo ni nini mkuu mbona kama umepanic hii ni sehemu ya mjadala huru ukipanic unaonekana hata Wewe ukipata madaraka utateka watu kama unaweza kupanic kisa maandishi vipi ukikosolewa ukiwa na power si utatumaliza?
 
..kwanini majadiliano ya maridhiano yasianze sasa na kuendelea hata baada ya uchaguzi.

..haileti mantiki serikali na Ccm kuteka na kupoteza wapinzani kipindi hiki cha kampeni, huku wakisema maridhiano yatafanyika baada ya uchaguzi.
Mimi nilitoa mawazo yangu sijui kama yatakubaliwa
 
..watu mbalimbali wameshauri Maridhiano yasimamiwe na Msuluhishi. Ushauri huo unazingatia makosa yaliyojitokeza katika mazungumzo baina ya Ccm na Cdm.
Yanaweza kusimamiwa na watu kutoka nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…