Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Huu ni umama na ujinga kuhisi kwamba kujenga nyumba ni mafanikio hii ni ndoto ya kila masikini eti kujenga nyumba kwao ni utajiri na mbaya Zaid hata kijijini kwenu wajinga watakusifu kwamba umefanikiwa huo ni ujinga na utoto hebu bdilisheni hiyo mindset zenu hizo.
Juzi nilishuhudia uzinduzi wa nyumba ya mshikaji halafu mshiaji wangu alivyo xhizi akawaalika familia mzima na ukoo mzima watu walimsifia na wakadiriki kusema kwahiyo ni mafanikio jamaaa yao kujenga nyumba daa mimi kwa hasira nikawachana nikawaambia huyo ni umama na umasikini watu walinishambulia na wengine kunitukana na mwishowe nikafukuzwa kwenye tafrija.
Acheni umama na umasikini!idiot