Kujenga nyumba ni ndogo ya kila maskini

Kujenga nyumba ni ndogo ya kila maskini

Huu ni umama na ujinga kuhisi kwamba kujenga nyumba ni mafanikio hii ni ndoto ya kila masikini eti kujenga nyumba kwao ni utajiri na mbaya Zaid hata kijijini kwenu wajinga watakusifu kwamba umefanikiwa huo ni ujinga na utoto hebu bdilisheni hiyo mindset zenu hizo.

Juzi nilishuhudia uzinduzi wa nyumba ya mshikaji halafu mshiaji wangu alivyo xhizi akawaalika familia mzima na ukoo mzima watu walimsifia na wakadiriki kusema kwahiyo ni mafanikio jamaaa yao kujenga nyumba daa mimi kwa hasira nikawachana nikawaambia huyo ni umama na umasikini watu walinishambulia na wengine kunitukana na mwishowe nikafukuzwa kwenye tafrija.

Acheni umama na umasikini!idiot
Baba mwenye nyumba, aaahh I mean Baba mwenye gari unateseka ukiwa wapi?
 
Huu ni umama na ujinga kuhisi kwamba kujenga nyumba ni mafanikio hii ni ndoto ya kila masikini eti kujenga nyumba kwao ni utajiri na mbaya Zaid hata kijijini kwenu wajinga watakusifu kwamba umefanikiwa huo ni ujinga na utoto hebu bdilisheni hiyo mindset zenu hizo.

Juzi nilishuhudia uzinduzi wa nyumba ya mshikaji halafu mshiaji wangu alivyo xhizi akawaalika familia mzima na ukoo mzima watu walimsifia na wakadiriki kusema kwahiyo ni mafanikio jamaaa yao kujenga nyumba daa mimi kwa hasira nikawachana nikawaambia huyo ni umama na umasikini watu walinishambulia na wengine kunitukana na mwishowe nikafukuzwa kwenye tafrija.

Acheni umama na umasikini!idiot
Mods futeni nyuzi za kindezi kama huu
 
Mimi naamini kwenye kuwekeza mitambo ya uzalishaji wa kudumu kama mitambo ya kuchana mbao na process zingine.. kuliko kujenga nyumba ya kulala
 
mleta mada ni mpuuzi sana , sasa kama kujenga ni uboya huyo aliyekupangisha asingejenga wewe ungekaa wapi na kuanza ku type upupu kama huu? wakati mwingine vijana wanasikitisha sana, sijui nani kawaroga.
 
Back
Top Bottom