Kujenga nyumba ni ndogo ya kila maskini

Kujenga nyumba ni ndogo ya kila maskini

Huu ni umama na ujinga kuhisi kwamba kujenga nyumba ni mafanikio hii ni ndoto ya kila masikini eti kujenga nyumba kwao ni utajiri na mbaya Zaid hata kijijini kwenu wajinga watakusifu kwamba umefanikiwa huo ni ujinga na utoto hebu bdilisheni hiyo mindset zenu hizo.

Juzi nilishuhudia uzinduzi wa nyumba ya mshikaji halafu mshiaji wangu alivyo xhizi akawaalika familia mzima na ukoo mzima watu walimsifia na wakadiriki kusema kwahiyo ni mafanikio jamaaa yao kujenga nyumba daa mimi kwa hasira nikawachana nikawaambia huyo ni umama na umasikini watu walinishambulia na wengine kunitukana na mwishowe nikafukuzwa kwenye tafrija.

Acheni umama na umasikini!idiot
Nani anakukimbiza? Kwanini usitulie usahihishe makosa ktk uandishi wako.
 
Huu ni umama na ujinga kuhisi kwamba kujenga nyumba ni mafanikio hii ni ndoto ya kila masikini eti kujenga nyumba kwao ni utajiri na mbaya Zaid hata kijijini kwenu wajinga watakusifu kwamba umefanikiwa huo ni ujinga na utoto hebu bdilisheni hiyo mindset zenu hizo.

Juzi nilishuhudia uzinduzi wa nyumba ya mshikaji halafu mshiaji wangu alivyo xhizi akawaalika familia mzima na ukoo mzima watu walimsifia na wakadiriki kusema kwahiyo ni mafanikio jamaaa yao kujenga nyumba daa mimi kwa hasira nikawachana nikawaambia huyo ni umama na umasikini watu walinishambulia na wengine kunitukana na mwishowe nikafukuzwa kwenye

unasema uo ni nini
20230108_231706.jpg
 
Upo sawa.. Muhindi hajengi nyumba ya kuishi, yupo radhi ajenge lodge imuingizie hela na yeye bado kapanga posta.

Ni kweli kujenga nyumba ya kuishi ni akili ya kimaskini.
Hivyo wewe unalala na kuamka kwa masikini....
 
Huyu jamaa ujamuelewa ajapinga kujenga la ila kitega uchumi kwanza kabla ya kujenga wengi wamejenga bila kuimalisha vitega uchumi matokeo yaka nyumba hizo waliziweka poni benki ila kwa mtumishi wa serikali yeye kujenga sawa au binafsi sababu huyu atajengea mkopo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna msemo unasema 'Tafuta, ukikosa rudi nyumbani'.

Kuwa na nyumba yako ni vema hata kikiwa ni kibanda kwani ukipata hela ya kutosha utajenga nyumba kubwa.

Imagine, umetafuta ukakosa ukaamua kurudi kwenye kibanda chako kwa ajili ya kureset mipango, hapo unaweza kupumua kidogo. Lakini ukiwa umepanga, utakutana na mwenye nyumba kasubiri kodi.
 
Huu ni umama na ujinga kuhisi kwamba kujenga nyumba ni mafanikio hii ni ndoto ya kila masikini eti kujenga nyumba kwao ni utajiri na mbaya Zaid hata kijijini kwenu wajinga watakusifu kwamba umefanikiwa huo ni ujinga na utoto hebu bdilisheni hiyo mindset zenu hizo.

Juzi nilishuhudia uzinduzi wa nyumba ya mshikaji halafu mshiaji wangu alivyo xhizi akawaalika familia mzima na ukoo mzima watu walimsifia na wakadiriki kusema kwahiyo ni mafanikio jamaaa yao kujenga nyumba daa mimi kwa hasira nikawachana nikawaambia huyo ni umama na umasikini watu walinishambulia na wengine kunitukana na mwishowe nikafukuzwa kwenye tafrija.

Acheni umama na umasikini!idiot
Una shida kichwani si bure. Nikadhani utaainisha ni kipi mtu akifanya ndo mafanikio.
 
Huu ni umama na ujinga kuhisi kwamba kujenga nyumba ni mafanikio hii ni ndoto ya kila masikini eti kujenga nyumba kwao ni utajiri na mbaya Zaid hata kijijini kwenu wajinga watakusifu kwamba umefanikiwa huo ni ujinga na utoto hebu bdilisheni hiyo mindset zenu hizo.

Juzi nilishuhudia uzinduzi wa nyumba ya mshikaji halafu mshiaji wangu alivyo xhizi akawaalika familia mzima na ukoo mzima watu walimsifia na wakadiriki kusema kwahiyo ni mafanikio jamaaa yao kujenga nyumba daa mimi kwa hasira nikawachana nikawaambia huyo ni umama na umasikini watu walinishambulia na wengine kunitukana na mwishowe nikafukuzwa kwenye tafrija.

Acheni umama na umasikini!idiot
Huyo aliyejenga ni mtimilifu wa akili.

Wewe ndiye mwenye akili za kimama.

Popote duniani uendako, makazi ama kumiliki makazi ni changamoto na ni sehemu ya mafanikio vile vile.

Kuna nchi nyingi zilizoendelea hasa ncgi za Ulaya na Marekani, raia kujenga nyumba "kavu" bila ya mkopo toka serikalini ni jambo lisilowezekana.

Sisi hapa bongo mtu anajipinda mwenyewe kujenga kwa fedha mbichi hadi anamaliza bila msaada wa mkopo toka kiserikalini, huoni huyo anastahili pongezi?

Enhe, fine tufanye kuwa kujenga ni umama, wewe vipaumbele vyako vyenye akili ni vipi?
 
Unavosema umama una maanisha nini mkuu, kwamba yeyote aliye mama hana akili ama ni aje
Hawezi kukujibu.

Ila "umama" ni kiswahili kitarafa, lugha ya mtaani isiyo rasmi.

Hapo kamaanisha "ujinga" na isikukwaze sana mkuu.

Kina mama mlishabebeshwa sifa zote, njema na mbaya ili watu kufurahisha nafsi zao bila kuhisi kukwaza wengine!

Fikiria unakuta mtu mzima anasifia jambo ama kitu na kuishia kusema:..."***** waalah", yaani hapo kafurahishwa sana!

Hivyo usijali mkuu.
 
Matajiri wa JF kumekucha tena
Kwahiyo tuache kujenga nyumba sio mafanio?

Kwahiyo wote tusijenge alaf tutaishi wapi maana hata wanaopangisha nyumba maana yake walizijenga.

Matajiri wa JF mnatupa lecture ngumu hazieleweki
 
Hiyo ni kweli lakini yatupasa kushinda changamoto hizo hili tumiliki uchumi hili na watoto wetu wapate pakuanzia nyumba ni matumizi kama mengine kwani aizalishi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Naomba niulize swali:

Ulikuwa unapanga kwa gharama ya TSH 150,000/= kwa mwezi.

Kwa mwaka utakuwa unalipa rent kama 1,800,000/= ambayo itakuwa cash outflow .

Lakini hapa Bongo utaendelea kulipia huduma za maji, umeme.

Ukajitutumua ukajenga Nyumba yako ambayo itafanya familia itulie na kuwa na amani.

Lakini Ile 150,000 haitotoka Tena, vipi umeokoa gharama au la?

Hiyo 1.5E5 haitokuwa directed kwenye maeneo mengine?

Lakini hata Nyumba ni biashara iwapo utaiangalia kwa mtizamo mwingine ila inahitaji muda mrefu.

Kumbuka biashara inahitaji muda na rate ya kufanikiwa kwenye biashara ni 5% tu.
 
Kujenga nyumba ya kuishi ni “liability” hasa kama huna kipato cha kutosha. Ila kujenga nyumba za biashara hiyo ni “asset” maana utaingiza ela.

Enewei kila mtu ana mbishe zake..
 
Huu ni umama na ujinga kuhisi kwamba kujenga nyumba ni mafanikio hii ni ndoto ya kila masikini eti kujenga nyumba kwao ni utajiri na mbaya Zaid hata kijijini kwenu wajinga watakusifu kwamba umefanikiwa huo ni ujinga na utoto hebu bdilisheni hiyo mindset zenu hizo.

Juzi nilishuhudia uzinduzi wa nyumba ya mshikaji halafu mshiaji wangu alivyo xhizi akawaalika familia mzima na ukoo mzima watu walimsifia na wakadiriki kusema kwahiyo ni mafanikio jamaaa yao kujenga nyumba daa mimi kwa hasira nikawachana nikawaambia huyo ni umama na umasikini watu walinishambulia na wengine kunitukana na mwishowe nikafukuzwa kwenye tafrija.

Acheni umama na umasikini!idiot
Mbona Kama wewe ndo unaleta umama
unateseka na wanayofanza wenzao, kuwa makini utakufa siku si zako
 
Back
Top Bottom