Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kaweke chupa ya Henessy na MOET bank kama dhamana uone kama utapewa hata 100! Kijana mpuuzi tu ndio atapondea ujenzi
Huu sio ujinga elimu nini?hii aliopositi ni zaidi ya elimu kwa sababu kaongelea uchumi uchumi ndio kila kitu uwezi soma au kusomesha bila uchumiYeah kuna mdau kapost issues za Elimu,ila hakuna hata watu wa kusoma ila ujinga kama huu unajaza comments
KabisaNenda kote duniani nyumba na aridhi ni very expensive na wanamiliki watu wenye akili tu.
Kiswahili kigumu kinachotakiwa ni kufahamu nini nimekusedia hata wewe ukiwekwa mtihani wa rugha ya kiswahili unapata fHamna kitu kinaitwa kinaitwa " mladi" ! Shule mnazosoma hizi za F, F, F,F,F,F,F ni shida kweli kweli!!! Ni mradi✓
Mtu kama anayo mapesa mengi ya kuweza kujenga nyumba nzuri na hapohapo anao na uwezo wa kuweka vitega uchumi,naye unamuweka kundi gani?Maana naona umeegemea sehemu moja tu.Kitu cha kwanza ni kitega uchumi hicho kitaga uchumi ndicho kijenge nyumba ya kuishi gali ya kutembelea kusomesha nk
Wengi wetu tuko kinyume chake tunapambana kujenga nyumba tena kwa kuungaunga mpaka nyumba ikamilike miaka 10 bora hiyo pesa ufungue mladi kisha faidi ndio ijenge nyumba ya kuishi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aliyekwambia kule lazima ulale kitandani nani?Alikosa kitanda Bado hajaanza
Usichukulie maisha serious hivyoDaah jeifu inakufa hivi hivi naona.......... threads za kijinga kama hizi mtu anapost post tu na mods wanauruhusu Uzi kama huu? Uhuru ukizidi unakuwa ujinga
Tunajadili vitu vya kijinga mno jeifu saizi,inapoteza mvuto,nikama fesibuku tuUsichukulie maisha serious hivyo
Huu ni umama na ujinga kuhisi kwamba kujenga nyumba ni mafanikio hii ni ndoto ya kila masikini eti kujenga nyumba kwao ni utajiri na mbaya Zaid hata kijijini kwenu wajinga watakusifu kwamba umefanikiwa huo ni ujinga na utoto hebu bdilisheni hiyo mindset zenu hizo.
Juzi nilishuhudia uzinduzi wa nyumba ya mshikaji halafu mshiaji wangu alivyo xhizi akawaalika familia mzima na ukoo mzima watu walimsifia na wakadiriki kusema kwahiyo ni mafanikio jamaaa yao kujenga nyumba daa mimi kwa hasira nikawachana nikawaambia huyo ni umama na umasikini watu walinishambulia na wengine kunitukana na mwishowe nikafukuzwa kwenye tafrija.
Acheni umama na umasikini!idiot
Huyu kujenga haki yake sababu ukiwa na kitega uchumi nyumba unajenga kwa muda mfupi tena ramani uitakayo tena unajenga sehemu uitakayo,ila kuna baadhi ya watu hawana uwezo wa kuendesha kusimamia hela wakizipata muda mfupi zinaisha kwa matumizi holela hao bora wajenge tu kisha waishi na wapangaji humo wachangie choo sebule waombane chumvi na wapangaji wao waombane mboga lakini kwa anae weza kuendesha biashara yake asijenge kwanza apange tu kisha biashara ikimalika ajengeMtu kama anayo mapesa mengi ya kuweza kujenga nyumba nzuri na hapohapo anao na uwezo wa kuweka vitega uchumi,naye unamuweka kundi gani?Maana naona umeegemea sehemu moja tu.
[emoji16][emoji23][emoji16][emoji16]Unaanza lini dozi hapo Mirembe?
Kama hayo yote unayajua basi si vema kupangiana namna ya kuishi.Kila mmoja afanye mambo yake kadiri ya muitikio wa akili zake.Tukifanya hivyo tutakuwa tumepevuka katika ustaarabu.Huyu kujenga haki yake sababu ukiwa na kitega uchumi nyumba unajenga kwa muda mfupi tena ramani uitakayo tena unajenga sehemu uitakayo,ila kuna baadhi ya watu hawana uwezo wa kuendesha kusimamia hela wakizipata muda mfupi zinaisha kwa matumizi holela hao bora wajenge tu kisha waishi na wapangaji humo wachangie choo sebule waombane chumvi na wapangaji wao waombane mboga lakini kwa anae weza kuendesha biashara yake asijenge kwanza apange tu kisha biashara ikimalika ajenge
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app