Kujenga nyumba ni ndogo ya kila maskini

Kujenga nyumba ni ndogo ya kila maskini

Aisee una undugu na Pdiddy? maana nilivyoona title haieleweki nikaona nisijisumbue kusoma yaliyomo isije ikawa shida...
 
Huu ni umama na ujinga kuhisi kwamba kujenga nyumba ni mafanikio hii ni ndoto ya kila masikini eti kujenga nyumba kwao ni utajiri na mbaya Zaid hata kijijini kwenu wajinga watakusifu kwamba umefanikiwa huo ni ujinga na utoto hebu bdilisheni hiyo mindset zenu hizo.

Juzi nilishuhudia uzinduzi wa nyumba ya mshikaji halafu mshiaji wangu alivyo xhizi akawaalika familia mzima na ukoo mzima watu walimsifia na wakadiriki kusema kwahiyo ni mafanikio jamaaa yao kujenga nyumba daa mimi kwa hasira nikawachana nikawaambia huyo ni umama na umasikini watu walinishambulia na wengine kunitukana na mwishowe nikafukuzwa kwenye tafrija.

Acheni umama na umasikini!idiot
Hivi hao matajiri wanaishi kwenye viota? Unataka kila mtu aishi nyumba kukodi tu au kny nyumba ya nyasi, Uzi wako wenyewe wa kimaskini
 
Daah jeifu inakufa hivi hivi naona.......... threads za kijinga kama hizi mtu anapost post tu na mods wanauruhusu Uzi kama huu? Uhuru ukizidi unakuwa ujinga
Unshangaa mtu akituma Uzi mzuri unsokosoa JF ban Mambo ya kipuuzi wanaachia kilicho Baki ni kupost zzz
 
Yeah kuna mdau kapost issues za Elimu,ila hakuna hata watu wa kusoma ila ujinga kama huu unajaza comments
 
Huu ni umama na ujinga kuhisi kwamba kujenga nyumba ni mafanikio hii ni ndoto ya kila masikini eti kujenga nyumba kwao ni utajiri na mbaya Zaid hata kijijini kwenu wajinga watakusifu kwamba umefanikiwa huo ni ujinga na utoto hebu bdilisheni hiyo mindset zenu hizo.

Juzi nilishuhudia uzinduzi wa nyumba ya mshikaji halafu mshiaji wangu alivyo xhizi akawaalika familia mzima na ukoo mzima watu walimsifia na wakadiriki kusema kwahiyo ni mafanikio jamaaa yao kujenga nyumba daa mimi kwa hasira nikawachana nikawaambia huyo ni umama na umasikini watu walinishambulia na wengine kunitukana na mwishowe nikafukuzwa kwenye tafrija.

Acheni umama na umasikini!idiot
Umeandika mwenyewe au umeandikiwa brooh.
Sema wanaume kama ww mhhhh hata madada poa lazima wawakimbie.
 
Kumiliki nyumba shamba ni bora zaidi lakini yampasa kumiliki kwanza mladi kisha faida ndio inunue vitu hivio sio mladi huna unapambana kujenga kama walivio wenge anatumia mtaji wake kujengea kisha kwenda benki kukopea mala nyumba inapigwa mnana
Hamna kitu kinaitwa kinaitwa " mladi" ! Shule mnazosoma hizi za F, F, F,F,F,F,F ni shida kweli kweli!!! Ni mradi✓
 
Huu ni umama na ujinga kuhisi kwamba kujenga nyumba ni mafanikio hii ni ndoto ya kila masikini eti kujenga nyumba kwao ni utajiri na mbaya Zaid hata kijijini kwenu wajinga watakusifu kwamba umefanikiwa huo ni ujinga na utoto hebu bdilisheni hiyo mindset zenu hizo.

Juzi nilishuhudia uzinduzi wa nyumba ya mshikaji halafu mshiaji wangu alivyo xhizi akawaalika familia mzima na ukoo mzima watu walimsifia na wakadiriki kusema kwahiyo ni mafanikio jamaaa yao kujenga nyumba daa mimi kwa hasira nikawachana nikawaambia huyo ni umama na umasikini watu walinishambulia na wengine kunitukana na mwishowe nikafukuzwa kwenye tafrija.

Acheni umama na umasikini!idiot
Nakubaliana nawe mwanangu. Una pwenti
 
Soma tena ulichokiandika halafu unitafsirie.Sijakuelewa.
Kitu cha kwanza ni kitega uchumi hicho kitaga uchumi ndicho kijenge nyumba ya kuishi gali ya kutembelea kusomesha nk

Wengi wetu tuko kinyume chake tunapambana kujenga nyumba tena kwa kuungaunga mpaka nyumba ikamilike miaka 10 bora hiyo pesa ufungue mladi kisha faidi ndio ijenge nyumba ya kuishi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kitega uchumi
Kuna faida na hasara

Ushawahi kujiuliza kwa nini asilimia 90 ya biashara hufa mwaka wa kwanza tangu kuanzishwa?

Asilimia 95% zinakufa ndani ya miaka 5 tangu kuanzishwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Biashara inahitaji muda kabla haijaanza kuzalisha faida!

Unafahamu itakuchukua muda gani kabla biashara yako haijabreak even ?

Vipi ikifa kabala ya hapo?
Au unahitaji kuwa na Biashara kwa ajili usifiwe na watu?

Kumbuka: Ni muhimu update muda wa kusimamia biashara yako bila hivyo ni kuwapa watu mtaji
Hiyo ni kweli lakini yatupasa kushinda changamoto hizo hili tumiliki uchumi hili na watoto wetu wapate pakuanzia nyumba ni matumizi kama mengine kwani aizalishi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hivi hao matajiri wanaishi kwenye viota? Unataka kila mtu aishi nyumba kukodi tu au kny nyumba ya nyasi, Uzi wako wenyewe wa kimaskini
Kupanga nyumba sio shida kama uchumi aujaimalika bora kupanga nyumba ya sh 150,000/ kwa mwezi kuliko kutumia mtaji huo kujengea nyumba

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
28AFC414-1286-45BC-A814-54DC87C21AF6.jpeg

Ka mtoa mada kakiwa kanawaza jinsi gani nyumba inaeza geuka mama
 
Nyumba ni kwa ajili ya familia, kwa mwanaume mwenye akili timamu.
Huyu jamaa ujamuelewa ajapinga kujenga la ila kitega uchumi kwanza kabla ya kujenga wengi wamejenga bila kuimalisha vitega uchumi matokeo yaka nyumba hizo waliziweka poni benki ila kwa mtumishi wa serikali yeye kujenga sawa au binafsi sababu huyu atajengea mkopo

Back
Top Bottom