Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Gharama gani zote hzo mbona hazielewek,boma la vyumba vitatu halitakiw kuzid 10mil hapo umepaua kabisa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alifanyiwa rafiki yangu mchezo na Contractor alikuwa mwanamke....alikuja stuka baada ya kupiga stori na kusema "dah namalizia nyumba yangu bwana, sasa hivi nafanya blundering, fundi kaniambia zinahitajika gypsum board SITINI NA TANO" hapo tulishtuka wote pale, anakuja kugundua fundi yule naye alikuwa anapandisha ya kwake, so alipigwa material mengi sanaa toka ujenzi unaanza ana alikuwa mbali na site. Hatari mkuu DeepPondHayo makadirio ya fundi,
Unaweza jikuta unajenga nyumba Yako, afu fundi nae anajenga ya kwake.
Mpaka Siku unahamia, nae fundi anahamia kwake.
wewe kama mimi mkuu... nilianza naandika niliacha baada ya kuezeka. Yani boma na kuezeka ilikuwa milioni 19 pamoja na mashimo mawili ya choo. hapo ndipo niliacha kuandika rasmi. nahisi sasa hivi skimming, wiring, grills, milango na gypsum, na plumbering huenda nishafika thelatini na kituSitasahau mimi na fundi wangu tulikaa tukapiga hesabu kila kitu gharama ilikuja m9 na laki4 tu
Maajabu ni kwamba nyumba hadi inamalizwa kuezekwa na hapo bado madirisha vigaena makorokocho kibao hesabu inasoma m23 na ushee nikaachia hapo kuandika na sitakaa niandike kitu kwenye ujenzi. Msimamizi ni mimi mwenyew