Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Hiyo barabara sio muhimu kama unavyodhani wewe mkuu.Barabara inayohitaji njia sita kwa sasa ni Dar es Salam to Dodoma,tena this is overdue.Infact sina hata haja ya kutaja faida zake,kwa kuwa zipo too obvious.Ukitaka kwenda kibiti na au mikoa ya kusini na unatokea morogoro au mikoa ya kaskazini na unataka kwenda lindi au mtwara au rufiji basi itakulazimu kwenda mpaka dsm ndo uende mikoa ya kusini rufiji, lindi na mtwara
Hii inconvinience ni kwa sababu kuanzia chalinze mpaka kibiti hakuna barabara ya lami ndo maana inalazimu kuwa na huu usumbufu
Kama kukijengwa barabara ya lami kuanzia chalinze mpaka kibiti na kisarawe basi kwa kiasi kikubwa sana itaffungua haya maeneo ambayo yapo nyuma sana kimaendeleo
Faida ya barabara ya chalinze mpaka kibiti
- Itaondoa usumbufu wa kupitia dsm kwa watu wanaotokea mikoa ya kaskazini au kanda ya ziwa wanaotaka kwenda kanda ya kusini
- Itafungua uchumi wa hayo maeno ambao uko nyuma sana
- Itaongeza uzalishaji sababu kutakua na wepesi wa kushafirisha mazao ya kilimo yanayozalishwa kwa hilo eneo
Asilia nipo tofauti kweli na watu wanaojisikia; we unayeita kwa wenzio porini unatokea mkoa gani?!!!!ππNdoto za alinacha,wameshindwa kuoanua barabara ya. DSM-MORO iwe huko maporini? Sio kwa utawala huu.
Serikali imetenge billion 700 za el nini sembuse za hiyo barabara tatizo la Tanzania ni vipaumbeleππππ. Mnadaiwa Tilioni 100 mnakusanya Tilioni 30. Kwa hesabu za KAWAIDA hapo MMEFILISIKA.
Uzi hauhusu barabara ya dodomaHiyo barabara sio muhimu kama unavyodhani wewe mkuu.Barabara inayohitaji njia sita kwa sasa ni Dar es Salam to Dodoma,tena this is overdue.Infact sina hata haja ya kutaja faida zake,kwa kuwa zipo too obvious.
We hudaiwi?ππππ. Mnadaiwa Tilioni 100 mnakusanya Tilioni 30. Kwa hesabu za KAWAIDA hapo MMEFILISIKA.
Mbaya zaidi wakandarasi hawajalipwaππππ. Mnadaiwa Tilioni 100 mnakusanya Tilioni 30. Kwa hesabu za KAWAIDA hapo MMEFILISIKA.
Wanadai El-Nino ipo ya jua,sio ya mvua.Sasa kama El-Nino ya mvua hamna,hizo hela zilichukuliwa za nini?It is wastage.Na kumbe kulikuwa na hela kama hizo,kwa nini zisingetumika ku-solve our most pressing needs kama kupanua barabara ya Dar-Dodoma ambayo ni nyembamba sana,ipo congested na kiukweli inatia aibu sana?El nino ipo?