Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Ni huzuni kubwa kwa masikito makubwa jana sikukuu ya pasaka kuna kijana amekutwa amekufa akiwa anajichua, alikuwa akiishi pekee yake mpaka umauti ulivyomkuta, kwa mujibu wa majirani wanasema alikuwa akiishi peke yake , wana jamii forum ni ukweli usiopingika wimbi la vijana kujichua limekuwa mwiba kwa taifa, watu wanaathirika na kuteseka katika addiction hii iliyo mbaya kuliko pombe.
Mungu ampunzishe anayostahili
Tumeumbwa kwa mavumbi na mavumbini tutarejea
Mungu ampunzishe anayostahili
Tumeumbwa kwa mavumbi na mavumbini tutarejea