min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Nyeto hapa imepakaziwa tu bwasheeNyeto ingekua na Madhara hivyo, kwa miaka miwili niliyokaa pale u-boyszini Tosamaganga, Kila week tungekua tuzika makamanda kwa Nyeto.
Maana sio kwa ule unyetukaji wa vijana wa hovyo, walio kua wanashindwa kwenda ipamba kutongoza manesi na wanakijiji.