Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
- Thread starter
- #161
Ninachojua na nilichokiona puli ni disasterSihitaji elimu kujua ni nzuri au mbaya nauliza credibilty ya huu uzi tu basi, tunajaza server kupotosha watu so akija kijana mdogo kamaliza fomfoo kukuta uzi wa hivi atakariri habari ambazo hazina ithibati, hata kuibiana nyeti utakuta kulianza kwa text message 1 tu leo hii ni national panic