Kujichua ni changamoto kwa taifa, hali ni mbaya

Kujichua ni changamoto kwa taifa, hali ni mbaya

Ni huzuni kubwa kwa masikito makubwa jana sikukuu ya pasaka kuna kijana amekutwa amekufa akiwa anajichua, alikuwa akiishi pekee yake mpaka umauti ulivyomkuta, kwa mujibu wa majirani wanasema alikuwa akiishi peke yake , wana jamii forum ni ukweli usiopingika wimbi la vijana kujichua limekuwa mwiba kwa taifa, watu wanaathirika na kuteseka katika addiction hii iliyo mbaya kuliko pombe.


Mungu ampunzishe anayostahili

Tumeumbwa kwa mavumbi na mavumbini tutarejea
Hao watu wamejuaje amekufa akiwa anajichua?
 
Hii n hujuma, jamaa ameuawa na raia wanajua sababu walichofanya n kumsingizia Ili kukwepa wao kuhojiwa.

Natoa saa 72 walete uthibitisho wa nyeto kuwa sababu ya jamaa kufa, pia walete ushahidi wa n namna gani nyeto inaweza kuua mana inawezekana hata mm nshakufa sijui.
Ngono kila siku ina ua maelfu na maelfu
 
Back
Top Bottom