Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
It means vijana wana avoid intimancy, mwans mising ya familia imeyumba na mbeleni hali itakuwa mbaya zaidiNi huzuni kubwa kwa masikito makubwa jana sikukuu ya pasaka kuna kijana amekutwa amekufa akiwa anajichua, alikuwa akiishi pekee yake mpaka umauti ulivyomkuta, kwa mujibu wa majirani wanasema alikuwa akiishi peke yake , wana jamii forum ni ukweli usiopingika wimbi la vijana kujichua limekuwa mwiba kwa taifa, watu wanaathirika na kuteseka katika addiction hii iliyo mbaya kuliko pombe.
Mungu ampunzishe anayostahili
Tumeumbwa kwa mavumbi na mavumbini tutarejea
Duhh inatakiwa mara ngapi next time nichukue tahadhari!Ni uzembe wake
Unapigaje nyeto kutwa maratatu bao tanotano.Kilichomuua ni heart attack!
Apumzike kwa amani🙏🏽🙏🏽
Oya upo duniani kitambo sanaNi uzembe wake
Unapigaje nyeto kutwa maratatu bao tanotano.Kilichomuua ni heart attack!
Apumzike kwa amani🙏🏽🙏🏽
kafa kizembe sanaKafa kibabe sana.
Nipo mkuu,unaendeleaje?Oya upo duniani kitambo sana
Fresh upo gudi lakini?Nipo mkuu,unaendeleaje?
Mkuu wengine tunatumia mseto wa karafuu tangawizi na asali so kupiga vitano sio shida zetuNikiwa mwenyekiti wa Chaputa nasikitika sana chama kimepoteza member. Anyway nawaasa vijana wapige nyeto kwa afya piga kimoja kwa siku angulau mara mbili kwa wiki. Sio unapiga bao tano au unajichua kila siku