Kujichua ni changamoto kwa taifa, hali ni mbaya

Hao watu wamejuaje amekufa akiwa anajichua?
 
Waache punyeto halafu wafanye kitu gani ? Wangapi wanakufa na ngono , wangapi wamekufa na Ukimwi kwa kuambukizwa na wake na waume au wapenzi wao?
Mkuu kama wewe ni mwanaume umeumbiwa mwanamke
 
Ngono kila siku ina ua maelfu na maelfu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…