Kujifungua kwa operesheni kuna punguza uke wa mwanamke

Huyu nadhani alimanisha kuongeza njia ukija kushona inakua kidgo imebana zaidi
Episiotomy inafanya uke upungue?
Nmeshangaa imekuaje tena

Sababu za CS kua nyingi
1 Ni salama zaidi
2 Kwa hospitali zina tengeneza mapato zaidi
3 Wataalamu wamekua wengi hivo haiihitaji uwe na sababu maalum sana (Strong Indication ) kufanyiwa Op
Dokta! Ambao nyuma kupo wazi wanaweza kujifungua kawaida bila shida yoyote?
 
Ningependelea OpπŸ˜‚

Episiotomy inafanya uke upungue?

Dokta! Ambao nyuma kupo wazi wanaweza kujifungua kawaida bila shida yoyote?
Episiotomy wakija kurepair ndo unakuta wamekula na kambususu kidogo
Na yenyewe ni kama Placebo effect
Suala la kua wazi na kuzaa kwa CS halijathibiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…