Mleta mada anashauri kwenye kujipost, sio kupost. Mudhui ya kibiashara ni mazuri kwa ajili ya kujitangaza, kujulikana kibiashara nk ila kubinua matako, kuonyesha manyonyo nk...mh. Japo kila mtu ana uhuru wa kuishi anavyojisikia.Kwakweli inategemea na maudhui na namna mtu anasocialize kunawengine wanatotivate sana
Kuna mkaka kanifnya nianze mipngo ya kufuga kuku the way imekuwa faida asingejipost nisingetamni na kuanza kufatilia
Umeelewa vyema. Wengi hawafaidiki Kuna wale wanaopost kwaajili ya kujiuza, Ile ni biashara Yao.Dhana ya Mwandishi inalenga Maarifa ya utumizi wa Mtandao.
Je, watumiaji wa Mtandao wanafaidika vipi na mitandao wanayotumia?
Pia, Sina Hakika kama watumiaji wa Mtandao hawafaidiki Moja moja.
Ila hawafaidiki katika Hali ya kumshawishi Mwandishi
Huyo ni mtumwa mmoja wapo anatetea wenzie achana naeYanatuhusu , mngekuwa hamjapost tungeyajuaje!?.
Haswaaa naona wengine hawajaelewa kujipost na kupost.Mleta mada anashauri kwenye kujipost, sio kupost. Mudhui ya kibiashara ni mazuri kwa ajili ya kujitangaza, kujulikana kibiashara nk ila kubinua matako, kuonyesha manyonyo nk...mh. Japo kila mtu ana uhuru wa kuishi anavyojisikia.
ShogaπDah ntakutumia moja ya shoga angu yani..... Tena anasindikiza na maneno "mtanierewa" mama mamamaaa nyie
Sio shoga uliedhani weweShogaπ
Sawa Kwa kufafanua MkuuSio shoga uliedhani wewe
Hapo sawa yeye hafaidiki ila watumiaji wanafaidika inaweza kuwa hivoDhana ya Mwandishi inalenga Maarifa ya utumizi wa Mtandao.
Je, watumiaji wa Mtandao wanafaidika vipi na mitandao wanayotumia?
Pia, Sina Hakika kama watumiaji wa Mtandao hawafaidiki Moja moja.
Ila hawafaidiki katika Hali ya kumshawishi Mwandishi
Na mm ndo nilichomaanisha uelewa wako wewe ni mbaya ila kwao ni mzuriKuna tofauti ya kupost na kujipost. Labda urejee maelezo ya kichwa Cha habari. Nimesema kujipost kwamaana wewe binafsi , Kila siku unajipost ili iweje!?, Ukiwa unakula unajipost, unatembea unajipost, unaimba unajipost!?. Itusaidie nini sisi!?.
Mtu kapiga picha na kuku anawalisha hajaweka Bei Yan hawako sokoni ni kapost au kajipost hebu nieleweshe kwanza ndugu?Sie tumesema kujipost sio kupost. Vitu viwili tofauti.
Kukosa Kaz za kufanyaNa kuangalia wanaojipost hadi kujua kuwa wanajipost kila siku nayo ni nini?
Kuna chalenji moja huko tiktok niliiona juzi ni aibu...aiserTena watu wazima TikTok wamekuwa wengi mno
Anafatilia halafu anaumia hahahaKukosa Kaz za kufanya
Unajuaje kilasiku mtu kapost ππ
Kutoa maoni haimaanishi huheshimu maamuzi ya watu, mtu husema kile aonacho kwake sio sahihi na hatuwezi kuwa na mtizamo sawa watu wote.Na mm ndo nilichomaanisha uelewa wako wewe ni mbaya ila kwao ni mzuri
Ni kuheshimu maamuzi ya mtu na maisha yake.
Wee umejuaje kama nimepost " Kujipost mtandaoni Kila siku ni utumwa" na umetoa maoni yako pia!?.Kukosa Kaz za kufanya
Unajuaje kilasiku mtu kapost ππ