Kapost project yake "anawalisha" angekuwa anawala tungesema " kajipost".Mtu kapiga picha na kuku anawalisha hajaweka Bei Yan hawako sokoni ni kapost au kajipost hebu nieleweshe kwanza ndugu?
Watu kama hao akili zao huwa ni ndogo sanaUnamsema rafiki yangu mmoja hivi na ni mama mtu mzima, aibu naona mimi😀
Huyo mumewe kwanini asimkanye kuonyesha mtko hovyo hovyo mitandaoni au labda anataka kutikitwaAisee hii ni maajabu. Ni mke wa mtu na ana watoto kabisa. Kila siku ni kuvaa nguo za kislayqueen za kubana tako halafu fupi mapaja yote njee,matiti njeee. Anaposti msambwanda wake status whatsapp, Instagram na mitandao yote......na Mume yupo, sijawahi kumuelewa
KwakweliKuna watu hawezi kupitisha siku bila kujipost mtandaoni. Anajaza status weeee utasema analipwa na WhatsApp.
Hana siri kila kitu hadharani kwenye mitandao, yaani huna hata haja ya kupeleleza habari zake , ukizitaka tu unazipata mtandaoni.
Akiachwa, akiwa na huzuni, akiwa na furaha vyote ni kupost tu kwenye mitandao.
Amekuwa kama msanii Kila hatua ya maisha yake lazima watu waijue. Wasanii wanapata pesa angalau, sasa mwenzetu unapata nini!?, Zaidi ya like na comments ambazo hazina faida yoyote Ile katika maisha yako.
Huu ni utumwa vilevile. Kataa kuwa mtumwa wa mitandao.
Kwani kakulazimisha umuangalie?Kuna binti mmoja mkusanya ushuru wa mazao mtaani kwetu,yaani akikaa ni kuimba imba tu huku akijirekodi hadi kero yani asipojipost tiktok yeye anaona bado sana.
😀😀😀yani wabongo tujifunze kuacha umbea kulikuwa na mtu anajipost na nguo fupi na mtaani tulilaani kweli kujifanya ushauri akasema mumew anapenda na anamnunulia nguo mwenyew na mumew anaziview vizuri tuAnafatilia halafu anaumia hahaha
Kumpa mtu ushauri haimaanishi umlazimishe, ila huwezi kukosa kutoa maoni yako kisa ni maisha yake.😀😀😀yani wabongo tujifunze kuacha umbea kulikuwa na mtu anajipost na nguo fupi na mtaani tulilaani kweli kujifanya ushauri akasema mumew anapenda na anamnunulia nguo mwenyew na mumew anaziview vizuri tu
Kilitushuka ushauri ukakomea hapo 😀😀
Watu hatufanani tusiforce kilamtu Aishi tunavoona sisi inafaa
Una tatizo la afya ya akili, tafuta mtaalamu wa afya ya akili akusaidieKuna watu hawezi kupitisha siku bila kujipost mtandaoni. Anajaza status weeee utasema analipwa na WhatsApp.
Hana siri kila kitu hadharani kwenye mitandao, yaani huna hata haja ya kupeleleza habari zake , ukizitaka tu unazipata mtandaoni.
Akiachwa, akiwa na huzuni, akiwa na furaha vyote ni kupost tu kwenye mitandao.
Amekuwa kama msanii Kila hatua ya maisha yake lazima watu waijue. Wasanii wanapata pesa angalau, sasa mwenzetu unapata nini!?, Zaidi ya like na comments ambazo hazina faida yoyote Ile katika maisha yako.
Huu ni utumwa vilevile. Kataa kuwa mtumwa wa mitandao.
Sawa...ila usihuzunike sana linda afya ya moyo wako na akili yako kwa bidii maana mambo mengi yakiumiza moyo wako na hao watu wenyewe hawajali wala kujua unaumia itakua hatari kwa afya yakoNahuzunika kuona jamii inaangamia, sio kuumia.
Anatangaza biasharaKuna mke wa mtu mwenye watoto, kila siku anaposti msambwanda wake status na mitandaoni. Sijawahi kumuelewa
🤣🤣🤣Watu wamevurugwaKuna chalenji moja huko tiktok niliiona juzi ni aibu...aiser
sijui hua wanawezaje[emoji28], yani hata dp yangu ya whatsapp ina almost miaka 2 now sijawai badilisha cas sioni umuhimu, ila wengine tena age yangu 40+ kabisa ila kutwa kubadili badili kama watoto, mala status instagram sjui x, yani nishashindwaga[emoji1], nikiweka status basi ni about work issues, tena iwe na ulazima huoKuna watu hawezi kupitisha siku bila kujipost mtandaoni. Anajaza status weeee utasema analipwa na WhatsApp.
Hana siri kila kitu hadharani kwenye mitandao, yaani huna hata haja ya kupeleleza habari zake , ukizitaka tu unazipata mtandaoni.
Akiachwa, akiwa na huzuni, akiwa na furaha vyote ni kupost tu kwenye mitandao.
Amekuwa kama msanii Kila hatua ya maisha yake lazima watu waijue. Wasanii wanapata pesa angalau, sasa mwenzetu unapata nini!?, Zaidi ya like na comments ambazo hazina faida yoyote Ile katika maisha yako.
Huu ni utumwa vilevile. Kataa kuwa mtumwa wa mitandao.
Yani mm zamani nilikua nabadili Dp hata mara 3 kwa wiki..status ndo kila siku lazima nipost..ila siku hzi naona na ukubwa unachangia sina muda kabisa dp ina almost mwaka sijabadili..status inaweza pita siku kadhaa sijaweka..ni kipindi tuu cha mpito na ukifanya unaona unafurahia ila muda ukifika unaacha mwenyewe kwa wale wanaojitambua lakini..sijui hua wanawezaje[emoji28], yani hata dp yangu ya whatsapp ina almost miaka 2 now sijawai badilisha cas sioni umuhimu, ila wengine tena age yangu 40+ kabisa ila kutwa kubadili badili kama watoto, mala status instagram sjui x, yani nishashindwaga[emoji1], nikiweka status basi ni about work issues, tena iwe na ulazima huo
Hakunaa kituu hapoo...Ni ubatili mtupuu😅😅😅😅Njoo mi nikufatilie wewe😂 kuna kitu nimeona kimeumuka hapo
kiranga,mmoja kati ya great thinker wa muda wote hapa jf nakukubali mno. Macho hayana pazia mkuu na ni kero kwa wengine mh. KirangaKwani kakulazimisha umuangalie?
Siamini....... thibitisha kama hutojal macho me ninayo 🤗Hakunaa kituu hapoo...Ni ubatili mtupuu😅😅😅😅