Kujipost mitandaoni Kila siku napo ni utumwa

Mtu kapiga picha na kuku anawalisha hajaweka Bei Yan hawako sokoni ni kapost au kajipost hebu nieleweshe kwanza ndugu?
Kapost project yake "anawalisha" angekuwa anawala tungesema " kajipost".

Halafu hata huko kujipost , nimesema wale wa Kila siku, Kila siku, Kila siku sura au maisha yake anayaweka public, ndo nilowalenga. Ndomna nikasema.

Kujipost Kila siku napo ni utumwa. Na Wala sikusema kujipost napo ni utumwa.
 
Aisee hii ni maajabu. Ni mke wa mtu na ana watoto kabisa. Kila siku ni kuvaa nguo za kislayqueen za kubana tako halafu fupi mapaja yote njee,matiti njeee. Anaposti msambwanda wake status whatsapp, Instagram na mitandao yote......na Mume yupo, sijawahi kumuelewa
Huyo mumewe kwanini asimkanye kuonyesha mtko hovyo hovyo mitandaoni au labda anataka kutikitwa
 
Kuna watu hawezi kupitisha siku bila kujipost mtandaoni. Anajaza status weeee utasema analipwa na WhatsApp.
Hana siri kila kitu hadharani kwenye mitandao, yaani huna hata haja ya kupeleleza habari zake , ukizitaka tu unazipata mtandaoni.

Akiachwa, akiwa na huzuni, akiwa na furaha vyote ni kupost tu kwenye mitandao.

Amekuwa kama msanii Kila hatua ya maisha yake lazima watu waijue. Wasanii wanapata pesa angalau, sasa mwenzetu unapata nini!?, Zaidi ya like na comments ambazo hazina faida yoyote Ile katika maisha yako.

Huu ni utumwa vilevile. Kataa kuwa mtumwa wa mitandao.
Kwakweli
 
Unajua maana ya Status????
tatizo wabongo mmejaa chuki na wivu tu, huna lolote.

Hususan kama ni mwanamke achana nae fuata mambo yako. Mwanaume unapata wapi muda wa kuview status.
 
Kuna binti mmoja mkusanya ushuru wa mazao mtaani kwetu,yaani akikaa ni kuimba imba tu huku akijirekodi hadi kero yani asipojipost tiktok yeye anaona bado sana.
Kwani kakulazimisha umuangalie?
 
Uwasikitikie maana inaonesha level ya ujinga mtu alionao,watu wasio na kazi mostly uneducated
 
Anafatilia halafu anaumia hahaha
😀😀😀yani wabongo tujifunze kuacha umbea kulikuwa na mtu anajipost na nguo fupi na mtaani tulilaani kweli kujifanya ushauri akasema mumew anapenda na anamnunulia nguo mwenyew na mumew anaziview vizuri tu
Kilitushuka ushauri ukakomea hapo 😀😀

Watu hatufanani tusiforce kilamtu Aishi tunavoona sisi inafaa
 
Kumpa mtu ushauri haimaanishi umlazimishe, ila huwezi kukosa kutoa maoni yako kisa ni maisha yake.

Ni maisha yake na wewe ni maoni yako. Ingekuwa mtu unampeleleza tungesema hicho ni kiherehere lakini vinafanyika public tukae kimya kisa maisha Yao!?.

Wote hatuwezi kuwa wajinga.
 
Kuna watu hawezi kupitisha siku bila kujipost mtandaoni. Anajaza status weeee utasema analipwa na WhatsApp.
Hana siri kila kitu hadharani kwenye mitandao, yaani huna hata haja ya kupeleleza habari zake , ukizitaka tu unazipata mtandaoni.

Akiachwa, akiwa na huzuni, akiwa na furaha vyote ni kupost tu kwenye mitandao.

Amekuwa kama msanii Kila hatua ya maisha yake lazima watu waijue. Wasanii wanapata pesa angalau, sasa mwenzetu unapata nini!?, Zaidi ya like na comments ambazo hazina faida yoyote Ile katika maisha yako.

Huu ni utumwa vilevile. Kataa kuwa mtumwa wa mitandao.
Una tatizo la afya ya akili, tafuta mtaalamu wa afya ya akili akusaidie
 
Nahuzunika kuona jamii inaangamia, sio kuumia.
Sawa...ila usihuzunike sana linda afya ya moyo wako na akili yako kwa bidii maana mambo mengi yakiumiza moyo wako na hao watu wenyewe hawajali wala kujua unaumia itakua hatari kwa afya yako
 
Kuna watu hawezi kupitisha siku bila kujipost mtandaoni. Anajaza status weeee utasema analipwa na WhatsApp.
Hana siri kila kitu hadharani kwenye mitandao, yaani huna hata haja ya kupeleleza habari zake , ukizitaka tu unazipata mtandaoni.

Akiachwa, akiwa na huzuni, akiwa na furaha vyote ni kupost tu kwenye mitandao.

Amekuwa kama msanii Kila hatua ya maisha yake lazima watu waijue. Wasanii wanapata pesa angalau, sasa mwenzetu unapata nini!?, Zaidi ya like na comments ambazo hazina faida yoyote Ile katika maisha yako.

Huu ni utumwa vilevile. Kataa kuwa mtumwa wa mitandao.
sijui hua wanawezaje[emoji28], yani hata dp yangu ya whatsapp ina almost miaka 2 now sijawai badilisha cas sioni umuhimu, ila wengine tena age yangu 40+ kabisa ila kutwa kubadili badili kama watoto, mala status instagram sjui x, yani nishashindwaga[emoji1], nikiweka status basi ni about work issues, tena iwe na ulazima huo
 
Yani mm zamani nilikua nabadili Dp hata mara 3 kwa wiki..status ndo kila siku lazima nipost..ila siku hzi naona na ukubwa unachangia sina muda kabisa dp ina almost mwaka sijabadili..status inaweza pita siku kadhaa sijaweka..ni kipindi tuu cha mpito na ukifanya unaona unafurahia ila muda ukifika unaacha mwenyewe kwa wale wanaojitambua lakini..
 
Back
Top Bottom