Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
🤣🤣🤣🤣🤣 loh nimecheka kama boyaDah ntakutumia moja ya shoga angu yani..... Tena anasindikiza na maneno "mtanierewa" mama mamamaaa nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣 loh nimecheka kama boyaDah ntakutumia moja ya shoga angu yani..... Tena anasindikiza na maneno "mtanierewa" mama mamamaaa nyie
Kuna "EX" anaumizwa hapo...Kuna mke wa mtu kila siku anaposti msambwanda wake status na mitandaoni. Sijawahi kumuelewa
Kujipost, Kuna post zingine za biashara huwezi kuacha kupost.
Yaani ukiwa beach unatupia vipicha, mara unaamka asubuhi " wadau ndo naamka" nani kakuuliza🤒
umeolewaMi naonaga aibu nikiona mtu anajipost anaimba imba na anakosea hayo maneno sometimes, na ikiwa ndo mutu ya 30+ nahisi aibu kinyama sijui aibu ya nini wakati hainihusu...... Ila huwa nahisi aibu sana.
Aisee hii ni maajabu. Ni mke wa mtu na ana watoto kabisa. Kila siku ni kuvaa nguo za kislayqueen za kubana tako halafu fupi mapaja yote njee,matiti njeee. Anaposti msambwanda wake status whatsapp, Instagram na mitandao yote......na Mume yupo, sijawahi kumuelewaKuna "EX" anaumizwa hapo...
sema wewe unaweza ukaona flani anazidisha posts ila mimi nisione hivyo1. Kuwa mtumwa wa watu, bila kupata likes na comments unaona Bado siku haijaenda vzrii.
2. Kukosa Amani moyoni, siku ukiwa huna smart unahaha.
3.Mambo Yako kuwa hadharani hivyo hata wabaya wako rahisi kukupata na kukudhuru.
Kwa wanawake ile ni njia ya kujiuza, kukumbusha wateja kuwa bado wapo, wasisahaulike.Kuna watu hawezi kupitisha siku bila kujipost mtandaoni. Anajaza status weeee utasema analipwa na WhatsApp.
Hana siri kila kitu hadharani kwenye mitandao, yaani huna hata haja ya kupeleleza habari zake , ukizitaka tu unazipata mtandaoni.
Akiachwa, akiwa na huzuni, akiwa na furaha vyote ni kupost tu kwenye mitandao.
Amekuwa kama msanii Kila hatua ya maisha yake lazima watu waijue. Wasanii wanapata pesa angalau, sasa mwenzetu unapata nini!?, Zaidi ya like na comments ambazo hazina faida yoyote Ile katika maisha yako.
Huu ni utumwa vilevile. Kataa kuwa mtumwa wa mitandao.
Kuna demu mmoja kipindi niko chuoni, akiamka asubuhi tu anaweka status inayosomeka "Good Morning World"Kujipost, Kuna post zingine za biashara huwezi kuacha kupost.
Yaani ukiwa beach unatupia vipicha, mara unaamka asubuhi " wadau ndo naamka" nani kakuuliza🤒
Ni mtazamo wako bi. Shanily...Yaani Kila siku unajipost tu, hata kama ni post Moja ndo Kila siku tuone sura Yako, aaahh!!! Ni utumwa.
Hujakoma bado naona😀umeolewa