GE2025 Kujitokeza kwa wingi Oktoba 29 kutafanya kazi iwe nyepesi zaidi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kalamu

Platinum Member
Joined
Nov 26, 2006
Posts
22,898
Reaction score
33,309
Kazi ya kuondoa uovu nchini mwetu itakuwa nyepesi zaidi, na itamalizika kwa haraka sana na kwa usalama zaidi kwa kila mtu iwapo waTanzania, popote walipo ndani ya nchi hii watajitokeza kukataa uchafuzi uliopangwa kufanyika siku hiyo.

Hivi vitisho vingi vinavyo tolewa na hao wanaojiita "Amiri Jeshi Mkuu" ni jitiihada tu za kutia waTanzania uoga wasishiriki kuleta mabadiliko ndani ya nchi yetu

Jitokeze, Oktoba 29, ungana na waTanzania wenzako kukataa uhuni unaofanywa na Samia na Genge lake kulazimisha kuwatawala waTanzania bila ya ridhaa yao..
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Hii siku imekaa utamu sana, mnatoka na vitambulisho vya kupigia kura mkononi, polisi wanakua confused hawa ni wapiga kura au waandamanaji 😂😂😂😂
Alafu mkiingia rodi mnabeba mabango ya "happy birthday Magufuli".

Siku imekaa utamu sana hii sijui nani aliwambia wapange tarehe ya siku ya kuzaliwa Magufuli.

lazima wachanginyikiwe mwaka huu.
 
Kwani sahivi, nyumba zao, familia zao, malia zao zimehama mitaani kwenu tarehe 29 ndo zitarudi?
 
Najaribu kujiuliza kwamba wataeka barriers kukagua vitambulisho kama ww ni mpiga kura kweli au watafanyaje fanyaje yani hii siku ni mbanga kweli.

Mwananchi atakaekaa nyumbani nitamshangaa
 
Kazi ya kuondoa uovu nchini mwetu itakuwa nyepesi zaidi, na itamalizika kwa haraka sana na kwa usalama zaidi kwa kila mtu iwapo waTanzania, popote walipo ndani ya nchi hii watajitokeza kukataa uchafuzi uliopangwa kufanyika siku hiyo.

Hivi vitisho vingi vinavyo tolewa na hao wanaojiita "Amiri Jeshi Mkuu" ni jitiihada tu za kutia waTanzania uoga wasishiriki kuleta mabadiliko ndani ya nchi yetu

Jitokeze, Oktoba 29, ungana na waTanzania wenzako kukataa uhuni unaofanywa na Samia na Genge lake kulazimisha kuwatawala waTanzania bila ya ridhaa yao..
Tupo tayari
 
Kwani sahivi, nyumba zao, familia zao, malia zao zimehama mitaani kwenu tarehe 29 ndo zitarudi?
Kila vita inazo mbinu zake; usitake watumie mbinu ulizo nazo wewe.
 
Alafu mkiingia rodi mnabeba mabango ya "happy birthday Magufuli".

Siku imekaa utamu sana hii sijui nani aliwambia wapange tarehe ya siku ya kuzaliwa Magufuli.

lazima wachanginyikiwe mwaka huu.
Unasema kweli; ni siku ya kuzaliwa Magufuli Oktoba 29?
Mbona mambo yatakuwa matamu sana!
 
Kazi ya kuondoa uovu nchini mwetu itakuwa nyepesi zaidi, na itamalizika kwa haraka sana na kwa usalama zaidi kwa kila mtu iwapo waTanzania, popote walipo ndani ya nchi hii watajitokeza kukataa uchafuzi uliopangwa kufanyika siku hiyo.

Hivi vitisho vingi vinavyo tolewa na hao wanaojiita "Amiri Jeshi Mkuu" ni jitiihada tu za kutia waTanzania uoga wasishiriki kuleta mabadiliko ndani ya nchi yetu

Jitokeze, Oktoba 29, ungana na waTanzania wenzako kukataa uhuni unaofanywa na Samia na Genge lake kulazimisha kuwatawala waTanzania bila ya ridhaa yao..
😂 😂 😂 17 days to go
 
Me too sikuwai kutegemea siku ningeandamana ila kwa hili ni lazima!
Kwa kweli ni kama siku imepangwa maalum kabisa kuiondoa Tanzania katika mikono ya hawa watu waovu. Siku hiyo kutoandamana ni sawa na kukubali Tanzania iendelee kuwa kwenye mateso ya hawa watu.
 
😂 😂 😂 17 days to go
You got it right this time. Keep it that way!
Now, if you don't mind, I would like to ask you for a favor. Go and remind Samia Suluhu Hassan to pass out another round of intimidation, about her being "Amiri Jeshi Mkuu ."
That's a good reminder for some of us who may be negligent about their obligation to this nation.
 
Back
Top Bottom