- Thread starter
- #21
Huwezi kukosa siku ya kihistoria kama hii, mkuu 'Sex'. Utawasimulia jambo gani wajukuu zako kuhusu ukombozi wa taifa hili kwa mara ya pili!I will be there on 29th for sure. I won't miss it.
Usisahau kuweka kumbukumbu ya picha. Tukio hili litakuwa ni historia muhimu kwa nchi yetu.