Me too sikuwai kutegemea siku ningeandamana ila kwa hili ni lazima!I will be there on 29th for sure. I won't miss it.
Alafu mkiingia rodi mnabeba mabango ya "happy birthday Magufuli".Hii siku imekaa utamu sana, mnatoka na vitambulisho vya kupigia kura mkononi, polisi wanakua confused hawa ni wapiga kura au waandamanaji ππππ
Siku iko upande wetu kabisa hiiAlafu mkiingia rodi mnabeba mabango ya "happy birthday Magufuli".
Siku imekaa utamu sana hii sijui nani aliwambia wapange tarehe ya siku ya kuzaliwa Magufuli.
lazima wachanginyikiwe mwaka huu.
Kwani sahivi, nyumba zao, familia zao, malia zao zimehama mitaani kwenu tarehe 29 ndo zitarudi?Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.
Siku hiyo kazi ni rahisi sana
Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.
Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu
VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu
Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu
Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.
Share na mwenzako
Najaribu kujiuliza kwamba wataeka barriers kukagua vitambulisho kama ww ni mpiga kura kweli au watafanyaje fanyaje yani hii siku ni mbanga kweli.Hii siku imekaa utamu sana, mnatoka na vitambulisho vya kupigia kura mkononi, polisi wanakua confused hawa ni wapiga kura au waandamanaji ππππ
Nakupitia nakupitia, usivae kanga.Hii siku imekaa utamu sana, mnatoka na vitambulisho vya kupigia kura mkononi, polisi wanakua confused hawa ni wapiga kura au waandamanaji ππππ
Khanga ya nini tena, ni trou na rabaNakupitia nakupitia, usivae kanga.
Tupo tayariKazi ya kuondoa uovu nchini mwetu itakuwa nyepesi zaidi, na itamalizika kwa haraka sana na kwa usalama zaidi kwa kila mtu iwapo waTanzania, popote walipo ndani ya nchi hii watajitokeza kukataa uchafuzi uliopangwa kufanyika siku hiyo.
Hivi vitisho vingi vinavyo tolewa na hao wanaojiita "Amiri Jeshi Mkuu" ni jitiihada tu za kutia waTanzania uoga wasishiriki kuleta mabadiliko ndani ya nchi yetu
Jitokeze, Oktoba 29, ungana na waTanzania wenzako kukataa uhuni unaofanywa na Samia na Genge lake kulazimisha kuwatawala waTanzania bila ya ridhaa yao..
Afadhali.Khanga ya nini tena, ni trou na raba
Kila vita inazo mbinu zake; usitake watumie mbinu ulizo nazo wewe.Kwani sahivi, nyumba zao, familia zao, malia zao zimehama mitaani kwenu tarehe 29 ndo zitarudi?
Unasema kweli; ni siku ya kuzaliwa Magufuli Oktoba 29?Alafu mkiingia rodi mnabeba mabango ya "happy birthday Magufuli".
Siku imekaa utamu sana hii sijui nani aliwambia wapange tarehe ya siku ya kuzaliwa Magufuli.
lazima wachanginyikiwe mwaka huu.
π π π 17 days to goKazi ya kuondoa uovu nchini mwetu itakuwa nyepesi zaidi, na itamalizika kwa haraka sana na kwa usalama zaidi kwa kila mtu iwapo waTanzania, popote walipo ndani ya nchi hii watajitokeza kukataa uchafuzi uliopangwa kufanyika siku hiyo.
Hivi vitisho vingi vinavyo tolewa na hao wanaojiita "Amiri Jeshi Mkuu" ni jitiihada tu za kutia waTanzania uoga wasishiriki kuleta mabadiliko ndani ya nchi yetu
Jitokeze, Oktoba 29, ungana na waTanzania wenzako kukataa uhuni unaofanywa na Samia na Genge lake kulazimisha kuwatawala waTanzania bila ya ridhaa yao..
Kwa kweli ni kama siku imepangwa maalum kabisa kuiondoa Tanzania katika mikono ya hawa watu waovu. Siku hiyo kutoandamana ni sawa na kukubali Tanzania iendelee kuwa kwenye mateso ya hawa watu.Me too sikuwai kutegemea siku ningeandamana ila kwa hili ni lazima!
You got it right this time. Keep it that way!π π π 17 days to go