Kujiunga jeshi isiwe sababu ya kufanya kazi za kutweza utu. Anachofanya mwanajeshi huyu ninaamini hata yeye hakipendi

Mimi pia nashangaa. Hata jeshi la marekani wanaoga top kama kawaida.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Wanaogea lkn siyo ktk matukio kama haya ya Hanang. Mwanajeshi anapaswa kuoga hata kinyesi wakati wa vita. Siyo kuwabebesha korosho na kuwazolesha matope kwa mikono . Ni upuuzi.
 
Huyo askari hajatumwa na serikali wala mtu yoyote kubong'oka hivyo ila anatafuta sifa tu.
 
Chadema akili zenu ni za nyumbu
 
Unabidi kuelewa mpaka MTU anaingia jeshini na Hana cheo ujue anatoka katika familia ambazo sio bora.


Hivyo unabidi kutii kila kitu ili ugali wako uendelee kuwepo tofauti na hapo ni ttizo hivyo tuwatie moyo hawa vijana ambao wameamua kujipambania ..
 
Hapo ndiyo kusema anamuokoa muathirika wa mafuriko, au anafanya kazi iliyotakiwa kufanywa na tingatinga!!
 
Hoja yako ni ya msingi, ila kwa hapa Tanzania wanajeshi na raia ni sawa sato na sangara mmoja anamla mwingine. Mitaani hao jamaa hawakai vizuri na raia na ndo wezi wa sanduku za kura. Bila shaka wewe pia ni mmoja wao kama sio basi ni tegemezi wa mmoja wao. Si rahisi raia kumkuta anawaombea mema.
Ila mwisho wa yote hao jamaa ni ndugu zetu tuwatakie mema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ