Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mpaka Malaika wa Misukosuko anashangaa😂😂😂🤣😊Watu mna majibu ya hovyo sana Kulanina 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka Malaika wa Misukosuko anashangaa😂😂😂🤣😊Watu mna majibu ya hovyo sana Kulanina 😂
Mimi pia nashangaa. Hata jeshi la marekani wanaoga top kama kawaida.Picha Ina shida gani??
Mbona Jumaa Aweso analowaga matope akipambana upate maji??
Sasa kwani Hanang kuna vita. Lkn sema nn, hata huyu aliyeinamia tope usikute ana mibange kichwani. Hajielewi.Lakini ikizuka vita, ndo utajua hujui
Wanaogea lkn siyo ktk matukio kama haya ya Hanang. Mwanajeshi anapaswa kuoga hata kinyesi wakati wa vita. Siyo kuwabebesha korosho na kuwazolesha matope kwa mikono . Ni upuuzi.Mimi pia nashangaa. Hata jeshi la marekani wanaoga top kama kawaida.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Awesome anapambanaje ili tupate maji?Picha Ina shida gani??
Mbona Jumaa Aweso analowaga matope akipambana upate maji??
Vipi na wewe ulivyoolewa sasa unalala uchi kwa Bwana wako?Kuolewa kataka mwenyewe, muache alale uchi
Ok, nimekuelewa.Wanaogea lkn siyo ktk matukio kama haya ya Hanang. Mwanajeshi anapaswa kuoga hata kinyesi wakati wa vita. Siyo kuwabebesha korosho na kuwazolesha matope kwa mikono . Ni upuuzi.
Huyo askari hajatumwa na serikali wala mtu yoyote kubong'oka hivyo ila anatafuta sifa tu.Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake.
Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo.
Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope.
Serikali imenunua magari 270 ya kisiasa na kuwakabidhi polisi kama sehemu ya maandalizi ya uchaguzi mwakani na 2025. Magari haya ni ya gharama kubwa na yana speed ya 270km/h.
Serikali pia Imenunua magari ya kurusha maji ya washawasha na kuipatia kila kila wilaya ili kupambana na wapinzani kirahisi.
Kwa mantiki hiyo serikali ya ccm inajali zaidi uchaguzi na kupambana na maandamano ya wapinzani kuliko kuwekeza ktk zana na vifaa vya uokozi wakati wa majanga.
Ili kufunika pengo hilo ndiyo inaamua kuwatweza watoto wetu, wadogo zetu, dada/kaka zetu , baba/mama zetu walioamua kujiunga jeshi kwa kuwashikisha tope kwa mikono.
Haikubaliki!
View attachment 2835681
Chadema akili zenu ni za nyumbuNafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake.
Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo.
Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope.
Serikali imenunua magari 270 ya kisiasa na kuwakabidhi polisi kama sehemu ya maandalizi ya uchaguzi mwakani na 2025. Magari haya ni ya gharama kubwa na yana speed ya 270km/h.
Serikali pia Imenunua magari ya kurusha maji ya washawasha na kuipatia kila kila wilaya ili kupambana na wapinzani kirahisi.
Kwa mantiki hiyo serikali ya ccm inajali zaidi uchaguzi na kupambana na maandamano ya wapinzani kuliko kuwekeza ktk zana na vifaa vya uokozi wakati wa majanga.
Ili kufunika pengo hilo ndiyo inaamua kuwatweza watoto wetu, wadogo zetu, dada/kaka zetu , baba/mama zetu walioamua kujiunga jeshi kwa kuwashikisha tope kwa mikono.
Haikubaliki!
View attachment 2835681
Hapo ndiyo kusema anamuokoa muathirika wa mafuriko, au anafanya kazi iliyotakiwa kufanywa na tingatinga!!Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake.
Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo.
Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope.
Serikali imenunua magari 270 ya kisiasa na kuwakabidhi polisi kama sehemu ya maandalizi ya uchaguzi mwakani na 2025. Magari haya ni ya gharama kubwa na yana speed ya 270km/h.
Serikali pia Imenunua magari ya kurusha maji ya washawasha na kuipatia kila kila wilaya ili kupambana na wapinzani kirahisi.
Kwa mantiki hiyo serikali ya ccm inajali zaidi uchaguzi na kupambana na maandamano ya wapinzani kuliko kuwekeza ktk zana na vifaa vya uokozi wakati wa majanga.
Ili kufunika pengo hilo ndiyo inaamua kuwatweza watoto wetu, wadogo zetu, dada/kaka zetu , baba/mama zetu walioamua kujiunga jeshi kwa kuwashikisha tope kwa mikono.
Haikubaliki!
View attachment 2835681
Amegeuzwa kuwa kijiko cha kuzolea topeau anafanya kazi iliyotakiwa kufanywa na tingatinga!!
Huo ni msemo mkuu...Vipi na wewe ulivyoolewa sasa unalala uchi kwa Bwana wako?
Dah, ila watu mmeshapagawa siyo bure ahahahaSasa kwani Hanang kuna vita. Lkn sema nn, hata huyu aliyeinamia tope usikute ana mibange kichwani. Hajielewi.
Hapo lugha chafu Iko wapi bro?Mkuu,
Lugha chafu hazipendezi unaweza kutoa comment yako Kwa lugha ya staha
Karagabao
✌️✌️✌️