Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Haku haribu msaliti sehemu yeyote ile ndio adhabu yakeTatizo aliharibu kumpiga risasi lissu .
Idiot km alitaka kuacha why akuNa huo ndio ukweli wenyewe....
We naye matacle tuHaku haribu msaliti sehemu yeyote ile ndio adhabu yake
Ukweli mtupuKuzungumzia ufisadi mkubwa ambao umewahi kuitikisa Tanzania bila kumtaja Magufuli ni makosa makubwa ya Historia.
Magufuli ndiye Rais fisadi Papa wa muda wote kwani haijawahi kutokea tokea uhuru Rais akapiga ufisadi wa TZS 1.5 trilioni ndani ya awamu moja ya uongozi.
Ufisadi aliopiga Magufuli ni mkubwa kuliko ufisadi wote wa awamu zote nne za nyuma yake ukijumlisha kwa pamoja.
Sifa na utukufu zimwendee CAG Profesa Musa Assad ambae alifanya kazi nzuri sana ya kuibua ufisadi ule.
View attachment 2038348View attachment 2038349View attachment 2038350
Makatoon acha chuki,jikite kwenye ukweli.Kuzungumzia ufisadi mkubwa ambao umewahi kuitikisa Tanzania bila kumtaja Magufuli ni makosa makubwa ya Historia.
Magufuli ndiye fisadi Papa wa muda wote kwani haijawahi kutokea tokea uhuru Rais akapiga ufisadi wa TZS 1.5 trilioni ndani ya awamu moja ya uongozi wake.
Ufisadi aliopiga Magufuli ni mkubwa kuliko ufisadi wote wa awamu zote nne za nyuma yake ukijumlisha kwa pamoja.
Sifa na utukufu zimwendee CAG Profesa Musa Assad ambae alifanya kazi nzuri sana ya kuibua ufisadi ule.
View attachment 2038348View attachment 2038349View attachment 2038370
Acha kupotosha umma hoja iliyopo ni juu ya hayati kusimamaia ujenzi wa barabaraSukuma gang hamjui kuwa , Barabara ni kodi zetu.💯⌚👍
Ripoti ya CAG siyo kweli?Halafu unanishambulia as if ni maoni yangu binafsi.Makatoon acha chuki,jikite kwenye ukweli.
Magu hakuwa msukuma kijana.Acha kupotosha umma hoja iliyopo ni juu ya hayati kusimamaia ujenzi wa barabara
Magufuli akiwa Waziri alikuwa analipwa mshahara kwa kazi ya uwaziri. Hiyo tu ni shukrani tosha.Ukweli unapaswa kuwekwa ndani ya historia yoyote inayoandikwa ili kizazi na kizazi kiweze kupata ukweli wa masuala yanaojili na kuendelea.
Hayati JPM katika utumishi wake wa umma zaidi ya miaka 25 alipigania maendeleo ya barabara hapa nchini.
Kila mtanzania ni shahidi juu hili na hivyo ni vyema historia kuwekwa wazi ili mchango wa hayati JPM kwenye ujenzi wa miundo mbinu ukajulikana kwa vizazi vinavyokuja.
Ikumbukwe hayati JPM alitoa ahadi kuwa watanzania mtapanda taxii kutoka Mtwara mpaka Mtukura na kweli ikatokea. Na alipoanza kupigania maendeleo ya barabara hapa nchini kwetu hali ya barabara ilikuwa mbaya sana.
Hao mawaziri wa ujenzi huko nyuma hawakulipwa mishahara?Magufuli akiwa Waziri alikuwa analipwa mshahara kwa kazi ya uwaziri. Hiyo tu ni shukrani tosha.
Barabara zimejengwa kwa Kodi zetu mimi na wewe na yule. Haya mambo ya kuanza kusifia watu ndiyo yanatujaribia na barabara zetu.
Eti Ubungo interchange inaitwa John Kikazi na Tazara bridge inaitwa Mfugale flyover. Wenzao akina Kikwette na Mkapa walijitahidi sana kukataa vitu visiitwe kwa majina yao.
Lakini mshamba mmoja kutoka Chato naye kajibandika jina la stendi ya mikoani inaitwa Magufuli bus terminal. Ndiyo maana kafa kwa kuwa vitu hupewa majina baada ya watu kufa