Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Ukweli unapaswa kuwekwa ndani ya historia yoyote inayoandikwa ili kizazi na kizazi kiweze kupata ukweli wa masuala yanaojili na kuendelea.
Hayati Magufuli katika utumishi wake wa umma zaidi ya miaka 25 alipigania maendeleo ya barabara hapa nchini.
Kila mtanzania ni shahidi juu hili na hivyo ni vyema historia kuwekwa wazi ili mchango wa hayati JPM kwenye ujenzi wa miundo mbinu ukajulikana kwa vizazi vinavyokuja.
Ikumbukwe hayati Magufuli alitoa ahadi kuwa watanzania mtapanda taxii kutoka Mtwara mpaka Mtukura na kweli ikatokea. Na alipoanza kupigania maendeleo ya barabara hapa nchini kwetu hali ya barabara ilikuwa mbaya sana.