Kujivunia maendeleo makubwa ya sekta ya barabara ndani ya miaka 60 ya Uhuru bila kumtaja Hayati Magufuli ni makosa makubwa ya kihistoria

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Ukweli unapaswa kuwekwa ndani ya historia yoyote inayoandikwa ili kizazi na kizazi kiweze kupata ukweli wa masuala yanaojili na kuendelea.

Hayati Magufuli katika utumishi wake wa umma zaidi ya miaka 25 alipigania maendeleo ya barabara hapa nchini.

Kila mtanzania ni shahidi juu hili na hivyo ni vyema historia kuwekwa wazi ili mchango wa hayati JPM kwenye ujenzi wa miundo mbinu ukajulikana kwa vizazi vinavyokuja.

Ikumbukwe hayati Magufuli alitoa ahadi kuwa watanzania mtapanda taxii kutoka Mtwara mpaka Mtukura na kweli ikatokea. Na alipoanza kupigania maendeleo ya barabara hapa nchini kwetu hali ya barabara ilikuwa mbaya sana.
 
Kuzungumzia ufisadi mkubwa ambao umewahi kuitikisa Tanzania bila kumtaja Magufuli ni makosa makubwa ya Historia.

Magufuli ndiye fisadi Papa wa muda wote kwani haijawahi kutokea tokea uhuru Rais akapiga ufisadi wa TZS 1.5 trilioni ndani ya awamu moja ya uongozi wake.

Ufisadi aliopiga Magufuli ni mkubwa kuliko ufisadi wote wa awamu zote nne za nyuma yake ukijumlisha kwa pamoja.

Sifa na utukufu zimwendee CAG Profesa Musa Assad ambae alifanya kazi nzuri sana ya kuibua ufisadi ule.

20211206.jpg
20211209.jpg
1638703545.jpg
 
Kuzungumzia ufisadi mkubwa ambao umewahi kuitikisa Tanzania bila kumtaja Magufuli ni makosa makubwa ya Historia.

Magufuli ndiye Rais fisadi Papa wa muda wote kwani haijawahi kutokea tokea uhuru Rais akapiga ufisadi wa TZS 1.5 trilioni ndani ya awamu moja ya uongozi.

Ufisadi aliopiga Magufuli ni mkubwa kuliko ufisadi wote wa awamu zote nne za nyuma yake ukijumlisha kwa pamoja.

Sifa na utukufu zimwendee CAG Profesa Musa Assad ambae alifanya kazi nzuri sana ya kuibua ufisadi ule.

View attachment 2038348View attachment 2038349View attachment 2038350
Ukweli mtupu
 
Kuzungumzia ufisadi mkubwa ambao umewahi kuitikisa Tanzania bila kumtaja Magufuli ni makosa makubwa ya Historia.

Magufuli ndiye fisadi Papa wa muda wote kwani haijawahi kutokea tokea uhuru Rais akapiga ufisadi wa TZS 1.5 trilioni ndani ya awamu moja ya uongozi wake.

Ufisadi aliopiga Magufuli ni mkubwa kuliko ufisadi wote wa awamu zote nne za nyuma yake ukijumlisha kwa pamoja.

Sifa na utukufu zimwendee CAG Profesa Musa Assad ambae alifanya kazi nzuri sana ya kuibua ufisadi ule.

View attachment 2038348View attachment 2038349View attachment 2038370
Makatoon acha chuki,jikite kwenye ukweli.
 
Akiwa Waziri au Rais ?, Na kama tukimtaja akiwa Waziri je Rais aliyekuwepo tusimtaje ? Au tukimtaja akiwa Rais je Waziri aliyekuwepo ?

Sikatai mchango wake wa utendaji hususan akiwa Waziri ila hizi tabia za kujisifu na kupeana Hongera watanzania zimetutoa kwenye reli tupo busy kupongezana zaidi ya kufanya au kupanga tufanye nini...
 
Makatoon acha chuki,jikite kwenye ukweli.
Ripoti ya CAG siyo kweli?Halafu unanishambulia as if ni maoni yangu binafsi.

Haya siyo maoni yangu binafsi na wala sina mamlaka ya kumwita mtu kuwa ni fisadi.Nilichoandika ni kwa mujibu wa CAG ambae ni mamlaka inayoheshimika sana Tanzania.Nenda kamshambulie CAG ambae aliibua ufisadi huo.
 
Ukweli unapaswa kuwekwa ndani ya historia yoyote inayoandikwa ili kizazi na kizazi kiweze kupata ukweli wa masuala yanaojili na kuendelea.

Hayati JPM katika utumishi wake wa umma zaidi ya miaka 25 alipigania maendeleo ya barabara hapa nchini.

Kila mtanzania ni shahidi juu hili na hivyo ni vyema historia kuwekwa wazi ili mchango wa hayati JPM kwenye ujenzi wa miundo mbinu ukajulikana kwa vizazi vinavyokuja.

Ikumbukwe hayati JPM alitoa ahadi kuwa watanzania mtapanda taxii kutoka Mtwara mpaka Mtukura na kweli ikatokea. Na alipoanza kupigania maendeleo ya barabara hapa nchini kwetu hali ya barabara ilikuwa mbaya sana.
Magufuli akiwa Waziri alikuwa analipwa mshahara kwa kazi ya uwaziri. Hiyo tu ni shukrani tosha.

Barabara zimejengwa kwa Kodi zetu mimi na wewe na yule. Haya mambo ya kuanza kusifia watu ndiyo yanatujaribia na barabara zetu.

Eti Ubungo interchange inaitwa John Kikazi na Tazara bridge inaitwa Mfugale flyover. Wenzao akina Kikwette na Mkapa walijitahidi sana kukataa vitu visiitwe kwa majina yao.

Lakini mshamba mmoja kutoka Chato naye kajibandika jina la stendi ya mikoani inaitwa Magufuli bus terminal. Ndiyo maana kafa kwa kuwa vitu hupewa majina baada ya watu kufa
 
Tuambie jambo moja la maendeleo alilofanya.
 
Hao mawaziri wa ujenzi huko nyuma hawakulipwa mishahara?

Kuita madaraja au barabara majina kuna kosa?
 
Back
Top Bottom