Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #41
Good pointSasa hizo kodi bila usimamizi wenye nidhamu unadhani nini kinatokea?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good pointSasa hizo kodi bila usimamizi wenye nidhamu unadhani nini kinatokea?.
Haku haribu msaliti sehemu yeyote ile ndio adhabu yake
Unaishi Tanzania?Habari za Magufuli kuwa fisadi Papa kwa kupiga ufisadi wa TZS 1.5 trilioni ziliandikwa kila mahali ikiwa ni pamoja na hapa JF lakini kwa sababu ya wewe kuwa mjinga unataka kushindana na mimi ila mradi unipotezee muda.
Hukufuatilia ripoti ya CAG?Hufuatilii yanayoendelea katika nchi yako?
View attachment 2038593Serikali ya Magufuli imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa
Trilioni 1.5 Zimepotea, TRA Wamedanganya Makusanyo ya Trilioni 2.2, Serikali Imepata Hati Chafu, Imetumia Mabilioni Kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa na Imelidharau Bunge - Uchambuzi wa ACT Wazalendo Kuhusu Masuala 8 Muhimu Kwenye Repoti ya CAG Ndugu Wanahabari Mdhibiti na Mkaguzi...www.jamiiforums.com
View attachment 2038601
Kwani kuna chuki binafsi na chuki ya umma?Umekosa hoja, inaonekana una chuki binafsi na hayati JPM
Ndio, wewe una chuki binafsi.Kwani kuna chuki binafsi na chuki ya umma?
Acha viroja leta hoja.Kwa mujibu wa CAG Magufuli ndiye fisadi Papa bora wa muda wote Tanzania.Unaishi Tanzania?
Acha story za vijiwe vya kahawa.Acha viroja leta hoja.Kwa mujibu wa CAG Magufuli ndiye fisadi Papa bora wa muda wote Tanzania.
MATAGA bhana!Yaani ripoti ya CAG ni story za vijiwe vya kahawa?!Acha story za vijiwe vya kahawa.
Hujui unalojadili.MATAGA bhana!Yaani ripoti ya CAG ni story za vijiwe vya kahawa?!
Magufuli ndiye fisadi papa bora wa muda wote Tanzania taka usitake.Hujui unalojadili.
Sukuma gang hamjui kuwa , Barabara ni kodi zetu.💯⌚👍