360degrees
Member
- Apr 10, 2024
- 8
- 7
Mhe Jerry Silaa Waziri wa Ardhi, nyumba, maendeleo na makazi tunaomba kujua hatma ya kupewa HATI kwa wananchi walionunua viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni mwaka jana. Wizara husika imeweka zuio la kutoa hati kwa wananchi waliokwisha maliza kununua viwanja husika ikidai kuna mgogoro baina ya Wizara husika na mwenye eneo
Kama hilo zoezi limeshindikan basi wizara husika irudishe fedha kwa wananchi waliolipia gharama za kununua viwanja husika
Kama hilo zoezi limeshindikan basi wizara husika irudishe fedha kwa wananchi waliolipia gharama za kununua viwanja husika