Kukamatwa kwa Malisa na Boniface Jacob kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

Mmechelewa sana , wenye pesa na vyeti feki walikuwa wanawadanganya jmaa ni dikteta
Umenena.

Juzi Maranja Masese kaja na makala ndefu kuelezea majambazi yanavyofilisi mabenki kwa kuchukua mikopo kisha kukimbilia mahakamani kuzuia kulipa pesa waliyokopa.

Masese kaandika kwenye makala yake kwamba majambazi haya wakati wa Magufuli yalifungwa, kufilisiwa na mengine kuikimbia nchi.

Ni kina Masese hawahawa walioimba wakati wa Magufuli kwamba anakandamiza biashara na kupora mali za wafanyabiashara. Baada ya Magufuli wakaja na mapambio ya mama anaiponya nchi.

Watulie wakati nchi inaendelea kuponywa.
 
Hata kipindi cha Ulimboka hakuwepo.

Kimsingi siku hizi watu wanauwawa kwa wingi sana, ila wa kupaza sauti ndio hao walio lamba asali.
 
Watu kama nyie huwa mnazaliwa na watu wa aina gani? Yaani jitu ovu unaliita shujaa lako πŸ€”πŸ€”
 
Ni sawa Sasa hivi vitokee vifo huko ujerumani kisha useme Hitler alisingiziwa maana Sasa hivi hayupo.
 
Uhovyo wake ni pale tu anapotaka jambo liwe wazi kuhusiana na tuhuma zinazopelekwa kwenye jeshi lake?

Huoni kwamba ni wakati wa yeye kuaibika pindi ushahidi wa wazi utapotolewa na kina Malisa?
Tanzania hakuna uwajibikaji wa viongozi iwapo aliyekufa ni mpinzani. Mifumo ipo kulinda uchafu.
 
Unatqkq kusema nini
Maana yake: Pigana na System ya CCM usipigane na mtu mmoja. Ondoa CCM nchi itakuwa salama.
Aliyemuua Sokoine ni CCM (system)
Aliyemuua Balali (system)
Aliyemuua Kombe (system)
Aliyempiga risasi Tundu Lisu (system)
Watekaji wote: Ni System

System iliyowekwa na CCM, huwa inaendelezwa tu. Ukiua CCM system kwisha

Don't fight Kikwete, Magufuli, samia - Fight the System ==>> CCM
 
Sasa unadhani bila Mungu kumuua Jiwe hii nchi ingekuwa wapi? Ile ilikuwa laana kwa Taifa
 
Hata kipindi cha Ulimboka hakuwepo.

Kimsingi siku hizi watu wanauwawa kwa wingi sana, ila wa kupaza sauti ndio hao walio lamba asali.
So wewe ni chizi kuwa huwezi kupaza sauti mpaka wanaume wenzako wakupazie,utakuwa sukuma gang wewe
 
Watu kama nyie huwa mnazaliwa na watu wa aina gani? Yaani jitu ovu unaliita shujaa lako πŸ€”πŸ€”
Mlaani mzazi aliyekunyima Shule na Wewe kujiongeza ukubwani kununua fekilo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu, watanzania tunasitahili maisha yote ya mateso na umasikini ulioshiba

Hatujawahi kuwa wakweli kwenye kutaka kuuangamiza umasikini na huwa hatujui ni kipi kianze na kifuate nini

Mbaya kabisa, huwa hatujui tunataka nini na tunachukia nini, tupo tupo tu, hatujawahi kufahamu tunahitaji kiongozi wa aina gani, je ni yule mwenye kujambisha mafisadi au ni msharika wa mafisadi? Hatujui.

Lakini ukiwakuta Watanzania wanavyompambania kiongozi asiyecheka na mafisadi utadhani wanamaanisha, kumbe ni unafiki na upumbavu tu, baada ya muda watamgeuka
 
Ni sawa Sasa hivi vitokee vifo huko ujerumani kisha useme Hitler alisingiziwa maana Sasa hivi hayupo.
Kubenea akiwa Chadema alisema anajua Ben alipo na huwa anamkuta Library

TAL kagoma kumleta dereva

Mwenyekiti ni Afisa wa Serikali Mstaafu

Unaelewa Bwashee πŸ˜„πŸ˜„
 
So wewe ni chizi kuwa huwezi kupaza sauti mpaka wanaume wenzako wakupazie,utakuwa sukuma gang wewe
Chizi mwenyewe.

Unazani kwa Nini kuna vyama vingi na mashirika mbalimbali? Na yote yanakula Kodi zetu? .

Kama hayafanyi kazi zetu basi yajifunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…