Umenena.Mmechelewa sana , wenye pesa na vyeti feki walikuwa wanawadanganya jmaa ni dikteta
Juzi Maranja Masese kaja na makala ndefu kuelezea majambazi yanavyofilisi mabenki kwa kuchukua mikopo kisha kukimbilia mahakamani kuzuia kulipa pesa waliyokopa.
Masese kaandika kwenye makala yake kwamba majambazi haya wakati wa Magufuli yalifungwa, kufilisiwa na mengine kuikimbia nchi.
Ni kina Masese hawahawa walioimba wakati wa Magufuli kwamba anakandamiza biashara na kupora mali za wafanyabiashara. Baada ya Magufuli wakaja na mapambio ya mama anaiponya nchi.
Watulie wakati nchi inaendelea kuponywa.