Kuna udini gani hapo au nimebase popote?Udini unaingiaje hapa mkuu.
mpaka mtu anaamua kujitenga let say kwa kipindi cha miaka 20 bila kurudi home ujue kuna sababu tena nyingiSawa ila, hao unaowaacha inakuwa kama umewasaliti. Imagine mzazi kakulea mpk umekuwa alaf unakuja kusikia walisha mzika au wewe umepatwa shida. Mm naona bado inabidi kuwa nao hata kama from a distance
Gentleman,Imenishangaza kuona mtu anaondoka kwao, gafla anakata mawasiliano.
Inapita hata miaka bila wao kujua yuko wapi, anafanya Nini.
Ujasiri wa namna hii sio wa kawaida.
Ila pia inanifanya nifikiri kuhusu familia, malezi, tamaduni na utandawzi.
Kweli zama zimebadilika.
Hii comment...inatokea pale unapogundua watu wanakutumia vibaya
Kulwa nani?Dah,kuna mtoto wa ma mkubwa anaitwa kulwa,ni mwaka wa saba sasa sina mawasiliano nae. So sad.
Hakuna faida yoyote, si me Wala ke, ushajiuliza ukifa Kwa kishitukiza inakuwaje? Usha ona maiti za manispa zinavo zikwa?kujitenga esp kwa kijana anae jitafuta kuna faida nying na hasara nyingi kikubwa ni mtu kujitambua na kuelewa anatafuta nini,, ila kijana akijisahau Kidogo hivi hasa kwenye haya majiji au miji mikubwa ndo tunawapata wakina anko T wengi au kisura wa mbeya,,, bora hata mdada anaweza kuangukia Me akamuweka ndani na maisha yakasonga