Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
- Thread starter
- #41
Sure, trauma hiyo. Na kukimbia hasa Huwa hakusolve chochote badala ya kuleta maumivu zaidiSababu kubwa ni maumivu ya anaeondoka aliyo yapata, hapa ndipo linapokuja jambo kubwa linalohusu malezi na mahusiano ya watoto na wazaziwao.
Maumivu hufanya chochote kama alie umizwa hajaiona thamani yake.View attachment 3594991