David Mgeni
Senior Member
- Aug 4, 2020
- 111
- 149
Naomba hiki kitabu please
Naomba hiki kitabu please
Mkubwa, kwamba ukizikwa bila kushtukiza ndio inakuwaje?Hakuna faida yoyote, si me Wala ke, ushajiuliza ukifa Kwa kishitukiza inakuwaje? Usha ona maiti za manispa zinavo zikwa?
Nilikiona tu mtandaoni!Naomba hiki kitabu please
Nimfano Mmoja tu kwenye vingi, tulia hapo hapo, juzi tu hapa Kuna dada alikua anatembeza maandazi, akaanguka ghafla na kufariki, alikua na katoto mgongoni, sasa fikiria kama ndugu wasipo patikana yule mtoto ataishi vipi? Sio upcoming street children?Mkubwa, kwamba ukizikwa bila kushtukiza ndio inakuwaje?
Unafufuka haraka 😂Mkubwa, kwamba ukizikwa bila kushtukiza ndio inakuwaje?
Dah sawa, nimejisikia vibaya!😢Nimfano Mmoja tu kwenye vingi, tulia hapo hapo, juzi tu hapa Kuna dada alikua anatembeza maandazi, akaanguka ghafla na kufariki, alikua na katoto mgongoni, sasa fikiria kama ndugu wasipo patikana yule mtoto ataishi vipi? Sio upcoming street children?
Ukitaka kuona heshima la kaburi, nenda kafukie makaburi ya watu ovyo, utakacho kipata utafahamu heshima ya kutunza kaburi la mtu, ndio mana huwezi amisha makaburi mpaka ushirikishe ndugu wa makaburi hayo
Hebu tulia watu tuko serious!🤭Unafufuka haraka 😂
Mimi naona ni watu kutokuwa wavumilivu na kebeba madhaifu. Hii huleta downfall Kwa pande zote. Yaani unawakimbia watu wanaoweza kukubeba no matter what..mpaka mtu anaamua kujitenga let say kwa kipindi cha miaka 20 bila kurudi home ujue kuna sababu tena nyingi
Familia zina mambo mengi sana
Kuna familia wanarogana mkuu ACHA TU, pona pona Yako ni ku escape, far awayMimi naona ni watu kutokuwa wavumilivu na kebeba madhaifu. Hii huleta downfall Kwa pande zote. Yaani unawakimbia watu wanaoweza kukubeba no matter what..
Sahihiinatokea pale unapogundua watu wanakutumia vibaya
Hakika mkuu ndo maana nikasema inahitaji ujasiri wa hali ya juu. It's a risk not all can bearInaitwa kujilipua
Akili ya Kushinda inakuwa kubwa kuliko kushindwa na pia unaamini hata ikitokea ukarudi home utarudi na kitu cha kubadilisha Hali ya maisha kutoka chini kwenda juu