Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kujilisha upepo, umuhimu unaisha ukizikwa siku tatu tu!😁😁😁 Kuna uwezekano wa kufufuka
Kujilisha upepo, umuhimu unaisha ukizikwa siku tatu tu!😁😁😁 Kuna uwezekano wa kufufuka
Ndo maana hatufanikiwi, tunaamin katika uchawi na superstitious beliefs. imagine 5 yrs? Umefaidika Nini? Kwanini usingetafta namna ya kurudisha amani! Huku ukisaidiana na at least mtu mnayeendana kwenye familia. Mngepiga hatua maana unity is strength.mm nilipotea 5year
na sikua na chaguo la kuwatafuta nilikua na pambana kuukimbiza umasikini na bado naendelea na sitak usumbufu.
sikuzote ili uukimbize umasikini na kua tajiri kafara na kukosekana kwa usawa havikwepek. Kafara c lazima kuua.
We dada hayo maumivu is part of life. Na sometimes karma is to be faced not avoid. Mateso na chuki ulizopitia sio kigezo cha kuwakataa nduguzo? Hao ndo waliokulea, waliokulisha, waliokuvisha mpka kufikia Leo. So be kind, don't let your ego win.Umekaa kaaje aisee kimawazo yako yani.
Mimi unitreat kama shit,unibague,unifanyie yote kunikosea heshima.unifokee mbele ya watoto.
Halafu nikifa eti unanipa heshima ya mwisho kwenye jeneza.heshima gani?
Kumuhesimi mtu kunaanza akiwa hai sio maiti.
Tupunguze unafki.
Waliozikwa na manispaa hawana ndugu wamepungua nini
Unataka kusema wao hawana heshima?
Umeona kuliliwa vilio feki na wanafki ndio heshima😄
Ningekusimulia mengi nliyopitia na kuyaona duniani.ntajaza gazeti hapa.kama upande uliopo umetulia shukuru sana.
Kulwa DottoKulwa nani?
Kuwa serious nataka kumtafutia ndugu yake😀Kulwa Dotto
Hiki ndicho chanzo na kiini Cha hayo yote. It starts and ends on a family level. Wazazi Huwa wanafanya mambo kukidhi trauma zao, baadae watoto wakianza ku act weird wanaanza kushangaa.Ushauri kwa wazazi
Jitahidini SANA kutotengeneza makundi kwa watoto wenu unamjar au kumsikiliza watoto fulan na kuwatenga wengine
Pia hakikisheni mnawasikiliza watoto wenu kwa kumpa Kila mmoja nafas ya kutoa mawazo na kuwapa ushauri
ACHEN lugha za kuwakatisha tamaa watoto wenu na kuwatoa akil mpaka wanajiona hawana thamani
Haya yote hupelekea WATU KUKAA mbal na familia
Mfano mimi mshua kwa dada yetu ambae ni wanne kuzaliwa humwambii kitu,inafika kipindi anamkosea heshima hata dada yetu mkubwa,mjomba ,mimi pia marehemu mama yetu.Ushauri kwa wazazi
Jitahidini SANA kutotengeneza makundi kwa watoto wenu unamjar au kumsikiliza watoto fulan na kuwatenga wengine
Pia hakikisheni mnawasikiliza watoto wenu kwa kumpa Kila mmoja nafas ya kutoa mawazo na kuwapa ushauri
ACHEN lugha za kuwakatisha tamaa watoto wenu na kuwatoa akil mpaka wanajiona hawana thamani
Haya yote hupelekea WATU KUKAA mbal na familia
Watu wanadhani familia zao ni kama za kila mtu, ukipata nzuri unashukuru Mungu na sio kuhukumu watu.Miaka na miaka huwa nawaza kufanya hivyo lkn sijawahi kupata ujasiri huo. Tusiwajudge sana maana wanazo sababu na nyinginr ni za msingi
Comfort zone yenyewe ni kula na kulala ila utailipia kwa kuumizwa kihisia na kiakili.ya kukujenga ukiwa isolated ni mengi kuliko kuishi katikati yao as your comfort zone.
Hakika mkuu maumivu ya familia ni makubwa. Ila hayatoki hata ukimbie... Mimi naona ni Bora kusamehe, kuwapenda na kuwasaidia upatapo nafasi.Watu wanadhani familia zao ni kama za kila mtu, ukipata nzuri unashukuru Mungu na sio kuhukumu watu.
Kuna binadamu wamejeruhiwa na familia zao kupita kissi hususani wale ambao hawa na kipato. Wanadharaulika, wanadhalilishwa, wanasimangwa, wanasingiziwa etc
Inafikia stage mtu haoni thamani ya ndugu wala familia. Anaamua kujitenga ili apate amani
Dunia ni pana sana mkuu. Kuna watu salama yao ni kuwa mbali na familia.Hakika mkuu maumivu ya familia ni makubwa. Ila hayatoki hata ukimbie... Mimi naona ni Bora kusamehe, kuwapenda na kuwasaidia upatapo nafasi.
Kuna regrets mbaya sana Huwa inapatikana ukiwapoteza mazima. It haunts you your whole life
Mkuu Kuna mengi nimepitia na kama ulivyosema, Huwa hisia kabisa, ila nikwambie tu kama ni ndugu waliokulea, inabidi usemehe na hata kufanya mawasiliano maana hii kitu hata tusijidanganye, wao pia waliumizwa. Hakuna anayeumiza mwingine pasipo historia. So kukata mzizi wa chuki ni kuanza kuona kiundani hao pia wamebeba misalabaWewe pia unadhani ukianguka family members tu ndio watakuokoa. Pole sana, ila waombee ndugu zako wawe na moyo tu ila si kwamba wanashindwa kukutelekeza
Siwezi kuwakalia kimya ndugu ama wazazi wangu ila kuna time distance inasaidia ukishakuwa mtu mzima.Mkuu Kuna mengi nimepitia na kama ulivyosema, Huwa hisia kabisa, ila nikwambie tu kama ni ndugu waliokulea, inabidi usemehe na hata kufanya mawasiliano maana hii kitu hata tusijidanganye, wao pia waliumizwa. Hakuna anayeumiza mwingine pasipo historia. So kukata mzizi wa chuki ni kuanza kuona kiundani hao pia wamebeba misalaba