witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba yangu , baba zangu wadogo hawajawahi nifundisha chochote kuhusu dating , kuniongoza katika kipindi cha Uvulana Hadi uanaume kamili unaopelekea Ndoa .Helixir hakuna lawama hapo. Tumekumbushana na kushauriana ikiwa pia ni njia moja wapo ya mafundisho
Jamii inahusika na wewe pia ni jamii kwa hiyo tuendelee kusambaza upendo kwa watoto wetu
KWA karne hii wapo wengi tuu, Ukitizama vijana wengi Tunaingia kwenye mahusiano Bila kuchuja pros and cons za mahusiano ,Tunachotizama ni uhakika wa Uchi (Excuse my language) Hakuna chochote tunachokijua Mara paap Bila kutarajia ujauzito huu hapa .. Hali ambayo kijana hakujiandaa wala kuandaliwa ,Hali ya uchumi haieleweki solution inakuwa kukimbia au kukataa ujauzito/mtoto.
Baba yangu , baba zangu wadogo hawajawahi nifundisha chochote kuhusu dating , kuniongoza katika kipindi cha Uvulana Hadi uanaume kamili unaopelekea Ndoa .
Sikuwahi kuambiwa kwamba kuna kipindi natakiwa niache ujinga , nipambane nitengeneze Maisha yangu na ya mwanamke nitakeyemwita mke wangu mama wa watoto wangu .
Same applied KWA vijana wengi wa sasa Wanaachwa wajitambue wenyewe kweli .. kujitambua wakati Tumeshatumbukia shimoni.
Mama D kuna ulazima wa kurudisha jando na unyago.
Baba yangu alikufa kitambo Sana nikiwa na miaka minne ,life was good kipindi akiwepo , zimebaki kumbukumbu tuu za picha na stori kutoka KWA dada yangu , Ilibidi nijikuze mimi mwenyewe kwa kiasi Fulani, at my early 20s Niliteleza pahala , sikukataa ujauzito nimetake full responsibilities japo kuna changamoto zake Nazishinda na ninazidi kuwa strong kila siku.Pole, nna uhakika wewe utakua tofauti sana na baba zako
Anza kusahihisha makosa kuanzia kwako na kuendelea
Mkuu, si unajua ndoa ikiwa na utulivu ndani hata kuchepuka ni rahisi?Kukimbia mtoto ili kulinda ndoa nalo ni janga lingine
Na ukweli sio kwamba ndoa inalindwa, ila usaliti na uongo ndio vinalindwa hapo
Ni sawa kama anapenda kwa maana unaeza mzuia ukakuta anawaxiwa kitandani kwako!Wewe ni kati ya wale wanaume wanaruhusu kipochi manyoya cha mke kwenda kuwaxiwa??
Ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu! This is 21st centurySira 9: 2-3
Usimwachie mwanamke ukuu wako, la sivyo atakutawala kabisa.
Usifuatane na mwanamke wa tabia mbaya, la sivyo utanaswa katika mitego yake.
Kwani wewe hupendi kuwaxiwa kipochi manyoya chako?21st century Mungu alisema umtume mkeo akawaxiwe kipochimanyoya!?
Vp kuhusu nyie wanawake kutembea na wanaume weng kwa wakat mmoja, haraf ukipata mimba unambambikizia mmoja wapo!! Ungekuwa wew ungekubal ?? Kwel mtoto unaweza ukamhudumia kwa 100% wakat unajua mlikuwa wanaume wengi ?? Heb litolee maelezo hiliKusema wanawake siku hizi wamekua pasua kichwa halafu haohao wanaume wanazaa na pasua vichwa huoni kuna tatizo mahala?
Hivi unajua ni rahisi kumbaka mwanamke na kumpa mimba zaidi ya kumbaka mwanaume?
Anayeadhibiwa hapo ni nani? Ni pasua kichwa au yule mtoto wako asiyekua na hatia?
Wanaume tumieni tuu busara, kwenye hili la mtoto hamna EXCUSES
Vp kuhusu nyie wanawake kutembea na wanaume weng kwa wakat mmoja, haraf ukipata mimba unambambikizia mmoja wapo!! Ungekuwa wew ungekubal ?? Kwel mtoto unaweza ukamhudumia kwa 100% wakat unajua mlikuwa wanaume wengi ?? Heb litolee maelezo hili
Tatizo mnafanya makusudi, mkitegemea metapata ndoa. Pole sana Kwa yaliyokukuta mama DZamani ilikua ni furaha, heshma na sifa njema mwanaume kupata watoto, kuwalea kwa mahitaji na mafundisho bora lakini siku hizi mambo yamebadilika! Wanaume wengi wamekua na ka desturi kapya kabisaaa. Achana na kale ka kukataa mimba ambazo wanajua kabisa wao ni wahusika; Wanaume wengi wamekua wazito, wazembe na wakatili mno linapokuja swala la kuwahudumia watoto wao.
Kwa taratibu za kiimani na kidesturi mtoto ni wa mwanaume sio kwa ubini tuu; bali hata mfumo mzima wa kupata watoto mwanamke ni kama shamba zuri lenye rutuba na mwanaume ndio mkulima mwenye mbegu zake na yeye ndio anaamua akazipande kwenye shamba gani, azitunze ili apate matunda bora.
Leo nimekutana na kesi ya mwanaume mmoja hospitalini, mtu mzima kama baba kwangu anaumwa vibaya. Watoto zake na mke wake wameshakata tamaa ya kumuuguza sababu wameshatumia pesa nyingi sana na hawana tena uwezo. Ghafla wakaingia watu wawili mwanaume na mwanamke, wakamfuata kwenye kitanda na kuomba faragha waongee nae kwa muda, baada ya muda daktari akaitwa..... kumbe wale ni watoto wake aliwakimbia ila baada ya kupokea taarifa za kuugua kwa baba yao toka kwa mama yao ambaye anaishi hapa wamefanya mipango yote na sasa wamekuja kumchukua kwenda kutibiwa nje ya nchi.
Yule baba amelia jamani, sijui kile kilio kilikua cha aibu? Cha majuto? Au cha uchungu maana kilikua kilio cha nguvu na kwikwi hadi watu wengine machozi yakawa yanawatoka.
Baba zetu, kaka zetu, watoto zetu tunzeni watoto wenu mnaozaa. Haijalishi ulimpata mtoto ukiwa katika hali gani ila kwa kuwa ni mtoto wako wajibika tuu kwa nafasi yako na Mungu atakubariki kwa nafasi yake.
Baba mchungaji Daniel Mugogo anakazia hapa
View attachment 2197930
Mungu awabariki wanaume wote mnaotunza watoto zenu bila shurti
Mim nmeongelea sababu za wanaume kutelekeza watoto,na ndo maana nkakuambia ujali kuashum wew ni mwanaume na nkakutaka ulitolee maelezo,,mim nkashaur ungelitolea kwanza maelezo Hilo swala haraf na wew ndo uniulize sasaKati ya mimba na watoto walotelekezwa, Tunaweza kupata idadi ya mimba zilizokatakiwa na watoto kutelekezwa sababu mamama zao walitembea na wanaume wengi?
Wanawake mnamatatzo Sana Tena sana,Tena mkiwa na kasura kamvuto ndo mnaleta shda mno,yaan mnajionaga mnaweza Kila kitu,kumbe hamna kitu,haraf mnakujaga kujielewa mda ushaenda,kias kwamba huwez kuolewa yaan ushakuwa chakula Cha mabaharia tuSira 9: 2-3
Usimwachie mwanamke ukuu wako, la sivyo atakutawala kabisa.
Usifuatane na mwanamke wa tabia mbaya, la sivyo utanaswa katika mitego yake.
Ni mafurushi.
Kati ya mimba na watoto walotelekezwa, Tunaweza kupata idadi ya mimba zilizokatakiwa na watoto kutelekezwa sababu mamama zao walitembea na wanaume wengi?